MBUNGE NANCY NYALUSI ASISITIZA WAZAZI KUONGEZA UMAKINI WA MALEZI YA WATOTO WAO
"Tunalala nao, tunakula nao, tunaenda nao shambani; sasa hivi kuna baadhi ya watu roho ya utu hawana tena. Mtu anaweza akamuingilia mtoto wa mdogo wake, mtoto wa dada yake. Hali ni mbaya, nawaomba Mama zangu...
MBUNGE NANCY NYALUSI: SERIKALI IMELETA BILIONI 1.8 YA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA KISING'A, IRINGA
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Mhe. Nancy Nyalusi amezungumza katika Kata ya Kising'a Wilaya ya Iringa na amewataka wananchi kutembea kifua mbele na kujivunia uwepo wa Serikali sikivu...
ampongeza Waziri, Naibu Waziri, Katibu Mkuu na kikosi kizima cha Wizara ya Ujenzi. Sote tumeona jinsi ambavyo Mvua zimeharibu miundombinu kwa mwaka huu lakini wamehangaika usiku na mchana kuhakikisha huduma zinarejea kwa wananchi, tunawapongeza sana na kuwatia moyo, tuna imani na matarajio...
MHE. NANCY NYALUSI AHOJI KADCO INASIMAMIA SHUGHULI ZA UWANJA WA NDEGE WA KIA KWA MKATABA UPI?
"Nampongeza sana CAG kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kuweza kubaini madudu. Ucheleweshaji wa Malipo kwa wakandarasi umesababisha riba ya Shilingi Bilioni 68.77 kwa Serikali kwa taasisi 12. Hapo...
MHE. NANCY NYALUSI ACHANGIA MILIONI 6 UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT, ATOA KADI 1500 KWA WANACHAMA WAPYA WA CCM
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Nyalusi amenunua Kadi za uanachama 1,500 kwa ajili ya wanachama wapya wa Jumuiya ya Wanawake CCM (UWT) Wilaya ya Kilolo, Mufindi na...
MBUNGE NANCY NYALUSI ATOA MAPENDEKEZO KWENYE BAJETI YA WIZARA YA KILIMO BUNGENI JIJINI DODOMA
"Wananchi wa Mkoa wa Iringa Tunaishukuru Serikali sana kwa mpango wa ujenzi wa kiwanda cha kuchakata Parachichi katika Wilaya ya Mufindi Kata ya Nyololo. Tunaomba Waziri atuambie ni lini ujenzi...
MHE. NANCY NYALUSI (MB) ATOA MSAADA MAGODORO 50 KWA SHULE YA WALEMAVU
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa (CCM) Mhe. Nancy Nyalusi tarehe 24/2/2023 amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ambapo Pamoja na mambo mengine ametembelea Shule ya Msingi Mchanganyiko Makalala iliyopo...
MHE. NANCY NYALUSI AFANYA ZIARA YA KIKAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO - IRINGA
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa (CCM) Mhe. Nancy Nyalusi amefanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya Kilolo mkoani Iringa katika kijiji cha Ng'uruwe ambapo amachangia Shilingi Milioni 1 kwenye...
MBUNGE MHE. NANCY NYALUSI AMETOA SHILINGI MILIONI 10 KUSAIDIA UJENZI WA WODI YA WANAWAKE ILALA SIMBA.
MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Nyalusi ametoa Shilingi Milioni 10 kwa uongozi wa kijiji cha Ilalasimba kilichopo katika kata ya Nzihi kwenye Halmashauri ya wilaya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.