nancy pelosi

  1. ward41

    Ziara ya Nancy Pelosi nchini Taiwan ilitoa jibu

    Raisi Xi wa China alitoa vitisho kuhusiana na ziara ya bi Perosi nchini Taiwan. Wote tulisikia. Pamoja na vitisho vyote, Marekani wakapuuza, bi mkubwa akaingia Taiwan. Wote tuliona, mchana kweupe. Wote tulifuatilia msafari wa bi Perosi. Ndege, meli za kivita zilikuwa zimeizunguka Taiwan, lakini...
  2. M

    Nancy Pelosi awasili nchini Armenia na kuilaumu Azerbaijan kwa mapigano ya mipakani

    Speaker wa Bunge la wawakilishi nchini Marekani,Nancy Pelosi amewasili katika mji Mkuu wa Armenia,Yerevan. Ziara hiyo inakuja baada ya Mapigano makali ya Kijeshi Kati ya Armenia na Azerbaijan yaliyosababisha Vifo vya Wanajeshi zaidi ya 250 kutoka pande zote Mbili. Mapigano hayo yalitokea katika...
  3. Lusungo

    Nancy Pelosi aondoka Taiwan

    Hatimaye mwanasiasa wa ngazi ya juu wa marekani ameondoka Taiwan mchana huu. Ziara ya Pelosi ilileta gumzo duniani kote na kufuatiliwa na mamilioni ya watu ulimwenguni kote. China imeachwa na kitendawili nini cha kufanya baada ya mwanasiasa huyo kutua salama salimini licha ya vitisho vyote vya...
  4. JanguKamaJangu

    Spika wa Bunge la Marekani awasili Taiwan kwa ndege ya Kijeshi, Urusi yadai ni uchochezi

    Licha ya vitisho kutoka kwa China, Spika wa Bunge la Marekani, Nancy Pelosi amewasili katika Kisiwa cha Taiwan. Amewasili kwa kutumia ndege ya Jeshi ambayo ilitokea Malaysia alipokuwa katika ziara kisha kutumia njia ndefu ili kuikwepa bahari ya Kusini ya China. Aidha, Urusi imeshutumu ziara...
  5. M

    Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

    Hiki kibibi ambacho kimekaribia kuhitimisha maisha yake hapa duniani kinaweza kusababisha maelfu ya watu wakiwemo watoto na vijana kufariki kama kitaendelea na chokochoko chake cha kulazimisha kuingia Taiwan kinyume na matakwa ya China ambayo ndiyo mmiliki halali wa Taiwan. China ilishaionya...
  6. SNAP J

    China yakemea vikali ziara ya Nancy Pelosi Taiwan

    Kumekucha. Mambo yanazidi kunoga. Msemaji wa Waziri wa mambo ya nje wa China Bwana Wang Wenbin ameionya Marekani kuwa endapo Nancy Pelosi (US house speaker) atafanya ziara ya kuitembelea Taiwan, August mwaka huu, basi taifa hilo linaloaminika kuwa ndio lenye nguvu ya kiuchumi kwa sasa duniani...
  7. T

    Tatizo siyo Ndugai kumkosoa mama hata Nancy Pelosi, Spika wa US alichana hotuba ya Trump mbele yake. Tumeanza kukopa juzi na jana Ndugai akiwa Spika

    Ukubwa wa deni haujaanza leo, Spika hajaanza kuwa Spika awamu hii leo, Madeni ya serikali yapo hata katika bunge la leo, malipo ya hovyo yanafanyila hata katika bunge la leo. Kwa nini Spika akemee leo?
  8. GENTAMYCINE

    Je, tuna Watu Jeuri (Kauzu) kama akina Nancy Pelosi katika Serikali (Tawala) zetu za Afrika hii ya sasa?

    Spika wa Bunge Marekani, Nancy Pelosi amechana hotuba ya Rais Donald Trump muda mfupi baada ya kumaliza kuisoma wakati akihutubia Bunge kwa kile kilichoelezwa kuwa kiongozi huyo wa Marekani hakumpa mkono wakati anamkabidhi nakala. Chanzo Habari: Mwananchi Online Hivi Yule Spika Mmoja hivi wa...
  9. N

    Trump is not impeached yet because Nancy Pelosi is holding the articles of impeachment

    USA its about institution kama Congress haipeleki article to senators it means Trump is not impeached .
  10. USSR

    President Trump has been Impeached after the House of Representatives voted in favour of charging him with abuse of power and obstruction of Congress

    Naona medie karibu zote duniani zipo live kwa watanzania wenzangu unaweza kujifunza kitu kwa local channel ITV wamejiunga na CNN wapo live. Mnyukano ni kati ya Democratic wanao pigakura kumwondoa na Democratic wanapinga kumbakiza imekaa kimrengo zaidi ya kiuhalisia ni kama vile bongo tu...
Back
Top Bottom