Tarehe 7.7. 1954 kilizaliwa chama cha Ukombozi wa Tanganyika. Kiliitwa Tanganyika African Nation Union (TANU).
Maazimisho ya sabasaba yalikuwa na historia ya kuanzishwa kwa Chama (TANU). Mnamo mwaka 1992 baada ya JAMHURI ya muungano wa Tanzania kuingia katika mfumo wa vyama vingi...vyama vya...
Dodoma, Tanzania – Agosti 08, 2024 – Kampuni ya Sukari ya Kilombero imeshiriki katika Tamasha la mwaka huu la Nane Nane, lililofanyika kuanzia Agosti 1 hadi 8 katika mikoa ya Dodoma na Morogoro. Siku ya Nane nane ni fursa kwa Kampuni hiyo kutoa elimu na kushirikiana na wakulima kwa kuonesha...
Sikukuu ya wakulima inayofahamika kuwa Nanenane ina sherekewa nchini kote tarehe 8 Agosti kila mwaka. Sherehe hiyo inatayarishwa na kuratibiwa na Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Shirika la Chama cha Kilimo Tanzania (TASO) na kuhusisha Taasisi, Wizara na mtu mmoja mmoja wanaoshughulika na...
Wakuu,
Nane-Nane ya Mwaka huu imegubwikwa na ufisadi wa hali ya juu hususani katikamaandalizi yake. Hii yangu inakuja kama muendelezo wa kile amba ho kiliwekwa wazi kwamba kuna vyoo viwili tu katika eneo lote kitu ambacho kimesababisha kero kubwa kwa washiriki.
Ukienda mbele zaidi haya ndio...
Nitakuwepo nane nane Arusha na miche ya matunda kama Pixie Orange, Tangarine, Mineola na Clementine pia.
Dragon fruits miche itakuwepo plus elimu ya kutesha
Pixie ndio tutakuwa nazo nyingi na Dragons plus matunda yake. Pixie ni machungwa seedless ambayo ni cross ya Tangarine na Sweet...
Nimepita stand ya Nanenane Dodoma leo, kuna kitu sijakielewa.
1. Ukiingia na gari, wanakulipisha ushuru wa kuingia na gari na wanakupa tiket.
2. Ukipaki gari, unapoingia kwa abiria unalipishwa, hata kama una tiket ya bus. sasa mimi kwa mfano, nimekuja na mwanafamilia nikiendesha gari yangu...
Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima Watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wakulima tuuze mazao kokote tunakoweza kupata faida Hilo tunakushukuru.
Lakini hebu fikiria wananchi wa Sae...
Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wana tuuze mazao kokote tunakoweza kupata faida Hilo tunakushukuru.
Lakini hebu fikiria wananchi wa Sae...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha sikuku ya Nane Nane jijini Mbeya, leo Agosti 8, 2023.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson amesema wakazi wa Mbeya wanaunga mkono uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Bandari ya...
NANE NANE MBEYA 2023
KARIBUNI BANDA LA WILAYA YA LUDEWA
Maonyesho ya Kilimo - Nane Nane 2023 yafunguliwa leo tarehe 01.08.2023 katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya ambapo mgeni rasmi wa sherehe hizo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango...
Hasa majengo ya nane nane. Kwenye viwanja hivi ambavyo vipo karibu kila mkoa, utakuta taasisi nyingi zimejenga majengo mazuri na ya kudumu. majengo haya huwa hayatumiki na watu kwa mwaka mzima isipokuwa Kwenye sherehe za nane nane au sabasaba. Tunawezake kuyatumia majengo haya kwa faida kwa...
Maonyesho haya maalum kwa ajili ya wakulima na wafugaji ambayo hufanyika kila mwaka yanaendelea kupoteza mvuto wake tofauti na ile miaka ya uanzishwaji wake Yan 95,96 na kuendelea. Lakini kuanzia miaka hii ya 2000 katikati hali ni tofauti na miaka ya nyuma.
Wamachinga kwenye maonyesho...
VIWANJA VINAUZWA KWA OFA YA SABASABA
VIWANJA vinapatikana Vigwaza ni km 8 kutoka barabara ya Morogoro na km 1 kwenda bandari ya nchi kavu.
Kwa msimu huu wa sikukuu utapata kiwanja kwa gharama ya Tsh 1050 kwa sqm 1 Kama utalipa Cash na Tsh 1,250 kwa sqm 1 kwa mkopo ambapo utalipia 40% na...
Hawa utumishi ndio ilikuwa fursa ya kutatua changamoto za vijana kwenye mfumo uombaji wa ajira kwa kanda zote kipindi hiki cha nane nane kupunguza usumbufu wanaopata vijana,cha ajabu tafuta huwaoni hasa kanda ya nyanda za juu kusini inayofanyika mbeya wenzenu karibia wote wapo. ninyi mnakwama wapi?
Maneno ya Shaaban Robert kwenye kitabu Maisha yangu na baada ya miaka hamsini.
IDARA YA FORODHA
SASA katika kazi ya ukarani nilikuwa mimekwisha kutimiza miaka kumi katika idara hii. Mshahara wangu wa shilingi sitini
kwa mwezi nilioanzia kazi sasa ulikuwa umezidi mara mbili kwa sababu kila...
Masala sayi
08, August 2021
Chuo Kikuu cha Iringa.
Kila ifikapo tarehe 08, August ya kila mwaka Tanzania huadhimisha sikukuu ya wakulima ambapo lengo kuu la sikukuu hiyo ni kuangalia mafanikio ya wakulima, wafugaji na wavuvi kwa mwaka husika, hivyo serikali kupitia wizara ya kilimo huandaa...
Leo ni siku ya Wakulima Nchini! Siku hii huhitimisha wiki moja ya Maonesho ya Kilimo Nchi nzima ambako Wakulima naWafugaji hukutana na kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo ya Seekta yao!
Cha ajabu mwaka huu hakuna chochote kilichofanyika sijui kumetokea Nini!?Au Corona?!
Kama ndivyo mbona...