nani kama baba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Team "nani kama mama", bila pesa anazotafuta baba kwa jasho na maumivu, mambo yangeenda?

    Na hata kama mama alikuwa ana kipato chake, kwa asili kipato kinachotumika kwenye nyumba huwa ni cha baba. Mama kapika chakula - bila hela ingewezekana? Mama kanipa hela ya nguo - ni baba kazitafuta, kampa mama awape. Mama kanitumia pocket money - ni baba kazitafuta, kampa mama awape...
Back
Top Bottom