Wakuu,
Nilioa na nina miaka 7 kwenye ndoa, na tumejaliwa kupata watoto wawili.
Mke wangu alibadilika kila nikimuomba unyumba ananiambia hataki, nimetumia njia nyingi kumshawishi akubali lakini anasema anaumwa, mara amechoka yani visingizio ni vingi ili mradi tu asifanye na mimi tendo la ndoa...