naomi marijani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mabaki ya mwili wa Naomi Marijani aliyeuawa na mume wake Hamisi Luwogo kwa kuchomwa moto kwa magunia mawili ya mkaa kuzikwa Kilimanjaro

    Mabaki ya mwili wa Naomi Orest Marijani aliyeuawa kisha kuchomwa moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa ndani ya banda la kuku na Mume wake Hamis Luwongo Mai 15, 2019 maeneo ya Gezaulole Kigamboni Jijini Dar es salaam, yanaagwa kwa Baba yake mdogo maeneo ya Mtoni Kijichi leo Ijumaa Machi 14...
  2. Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo February 26,2025 imemhukumu kunyongwa hadi kufa Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) kwa kumuua Mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa Katika kesi ya jinai namba 44/2023 mfanyabiashara huyo mkazi wa Gezaulole...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…