Hellow
Ipo hivi hii hali ninayo toka nikiwa mdogo lakini haikuwa inajionyesha sana kama ilivyo kwa sasa hivi naweza nikawa nimekaa hivi nikapandwa na hasira gafla na kilichonifanya nipandwe na hasira nisikijue .
Pia naweza kuwa natamani kwenda kwenye social group ila nikifika pale hasira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.