Kwa matamshi ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape aliyoyatoa majuzi huko Kagera, kuhusu mbinu anazozijua yeye ya namna ya kupata ushindi Kwenye chaguzi zetu na mbinu hizo hizo, akamfundisha Mbunge Byabato, kuwa kushinda uchaguzi hapa nchini, inategemea ni nani anahesabu...
Karma Is real mwaka 2025 kutakuwa na mgombea Urais kupitia CCM mpya, kutakuwa na mgombea Mwenza mpya kutakuwepo na timu mpya ya kampeni za mgombea Urais mpya
Nnauye Moses Nape ana kiburi cha kubebwa asahau kwa sababu mgombea Urais mpya hatamhitaji Nape Moses Nnauye and the go likes
Kwa sababu...
Salaam wanajenzi.
Natambua kuwa nchi yetu ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa (UN), umoja wa kikanda (SADC na EAC) ambapo kwa pamoja wameridhia kuongoza kwa kutumia katiba za nchi zao ambazo zimedhibiti sheria za kikanda na kibara kama ilivyotanabaishwa katika mfululizo wa vifungu na sheria za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.