Ilisemwa mambo ya Samia hayataenda asipokuwa na hao wawili. Ajabu leo hii mambo ya Samia yapo muswano.
Ilisemwa na kudaiwa jamaa hao wasioridhika na kukubaliana na hali halisi eti wangeuteteresha Utawala wa mama huyo endapo tu wangefutwa kazi jambo ambalo hadi wakati huu mwanamama huyo...
Shalom.
Makada wa CCM Nape Nnauye na January Makamba wamefurushwa kutoka nafasi zao za Uwaziri. Kwamba sasa ni Wabunge tu wa Mtama (Lindi) na Bumbuli (Tanga).
Si mara ya kwanza kwa vijana hawa kusukumwa nje ya Baraza la Mawaziri ndani ya kipindi kifupi. Waliondolewa na Magufuli kwa kile...
Bado Mungu anaendelea kuipigania nchi hata kama watanzania wengi wamekata tamaa.
Nape alitumbuliwa na Magufuli, ikawa nongwa na mashambulizi yakaanza hadi wazee wenye heshima zao wakaingia kwenye vita ya kumshambulia Magufuli. Napę akavimba bichwa na kukosa muda wa kutafakari utumishi wake...
Mheshimiwa Waziri (Mstaafu) [MB] ulikua mbunifu sana katika sekta ya Mawasiliano. Toka Uhuru hakuna Waziri aliyewahi kupanda kwenye minara ya Mawasiliano Ila wewe umeweza.
Na umeacha alama. Hongera Sana na mapumziko mema ya kustaafu Uwaziri. Endelea Kula mema ya ubunge mpaka Wananchi...
Nimefukuzwa kazi usiku nikiwa ukumbIni na konyagi yangu alafu gari la ofisi wamelichukua bila kuambiwa hata kunibeep ila sikuwa na bando sababu mimi ndio mpandishaji wa vifurushi.
Kilichoniuma watu waliposikia nimeondolewa hata lift hawajanipa imeishia kupanda boda paka nyumbani ndio maana leo...
Nampongeza Rais wangu ni mtu mtulivu, anakupa muda usipojirekebisha anakuchapa, hongera mama. Nnape ana tabia ya kujisahau, alishaanza kibri kauli ya juzi ni ushahidi, ni mropokaji, anajidanganya CCM inamwogopa, inamtegemea.
CCM ni tofauti na vyama vingine, CCM haimtegemei mtu, iko juu ya...
RAIS SAMIA, alikuja na falsafa ya 4Rs. Nape akampinga Rais kwa kauli isiyo ya wazi moja kwa moja. Lakini Nape ni mjumbe wa Baraza la Mawaziri, ambalo kazi yake ni kumsaidia Rais. Baada ya kauli yake ya hivi karibuni, haikuwa wazi kama Nape anamsaidia Rais kutekeleza 4Rs au anamsaidia Rais...
Wakuu,
Tumeona mkeka wa mama, kamla kichwa Byabato, Makamba na Nape, huku baadhi ya watu wakikisia ni matukio yaliyotokea hivi karibuni ndio yamewaondoa kwenye nafasi walizokuwa wakikalia.
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari...
Naandika haya nikiwa na uchungu mkubwa, sina hata muda wa salamu maana tutachoshana tu.
Nilikua nikisikia maafisa wa serikali wanashauri vijana tujiajiri, nilidhani ni wanafiki, kumbe wanapitia magumu sana na hawatamani wengine yatukute, ila sasa walishakua walemavu wa fikra hawana kimbilio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.