Wakuu,
Kama mnakumbuka Julai 21, 2024, Nape alivuliwa rasmi cheo cha Waziri wa Habari na tangu hapo ni kama alienda kujificha kwenye handaki.
Alijiondoka X(Twitter) na hakufanya interview hata moja kutoka wakati ule. Kwa mtu kama Nape ambaye ilikuwa kawaida kuropoka na kujibizana na raia...
Ukisikiliza wanavyochambua Magazeti na kuwaponda Watumbuliwa wa hivi karibuni huwezi amini kama Nape alikuwa Boss Wao juzikati tu na walimtukuza sana
Ni vema hawa Watangazaji wa Kuigiza wakaweka Akiba ya Maneno
Ni hilo tu
Ahsanteni Sana 😂
Bado Mungu anaendelea kuipigania nchi hata kama watanzania wengi wamekata tamaa.
Nape alitumbuliwa na Magufuli, ikawa nongwa na mashambulizi yakaanza hadi wazee wenye heshima zao wakaingia kwenye vita ya kumshambulia Magufuli. Napę akavimba bichwa na kukosa muda wa kutafakari utumishi wake...
Nadhani kuna jambo halipo sawa, kuna baadhi ya watu wanakonekti doti ya TCRA kutoa pongezi kwa nape ila nadhani ni beyond to the point.
Nadhani kimbelembele cha Ridhwani kuhangaika na mambo ya kimataifa wakati hajaweza kuleta impact yeyote kwa Tanzania especially kipindi kile anahangaika na...
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mh Nape Mosses Nnauye kasema ukweli usiopingika halafu huyu mama anakuja kumfuta kazi kinafiki wakati ukweli hata yeye mwenyewe Bi Tozo anaujua.
Pia soma > Uteuzi na Utenguzi: Nape, Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Na kibaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.