Wakuu,
Kama mnakumbuka Julai 21, 2024, Nape alivuliwa rasmi cheo cha Waziri wa Habari na tangu hapo ni kama alienda kujificha kwenye handaki.
Alijiondoka X(Twitter) na hakufanya interview hata moja kutoka wakati ule. Kwa mtu kama Nape ambaye ilikuwa kawaida kuropoka na kujibizana na raia...