nape nnauye x

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Kutumbuliwa kwa Nape: Bahari inazidi kutulia na Mungu anaendelea kuamua ugomvi

    Bado Mungu anaendelea kuipigania nchi hata kama watanzania wengi wamekata tamaa. Nape alitumbuliwa na Magufuli, ikawa nongwa na mashambulizi yakaanza hadi wazee wenye heshima zao wakaingia kwenye vita ya kumshambulia Magufuli. Napę akavimba bichwa na kukosa muda wa kutafakari utumishi wake...
  2. Cute Wife

    Pre GE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

    Wakuu, Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira? Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Kweli madaraka matamu...
Back
Top Bottom