Bado Mungu anaendelea kuipigania nchi hata kama watanzania wengi wamekata tamaa.
Nape alitumbuliwa na Magufuli, ikawa nongwa na mashambulizi yakaanza hadi wazee wenye heshima zao wakaingia kwenye vita ya kumshambulia Magufuli. Napę akavimba bichwa na kukosa muda wa kutafakari utumishi wake...
Wakuu,
Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira?
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Kweli madaraka matamu...