Anaitwa Nairobi fly,
Anazalisha kemikali yenye sumu ambayo ikikutana na ngozi ya binadamu, basi ngozi inaungua na kuacha blisters.
Hii kemikali inaitwa pederin. Unapomuua huyu mdudu wa vidole vyako basi hii kemikali hubaki kwenye vidole vyako popote utakaposhika kwenye mwili wako basi pata...