Wakuu hivi sehemu sahihi ya kiutafutaji katika ya Morogoro na Katavi ipi ni sahihi? Kwa maana ya biashara ya mazao na maduka ya dawa Morogoro maeneo ya Ifakara, Mvomero, Malinyi, Kilombero na Mlimba?
Nimetoka Dar nikaenda hii mikoa kujitafuta mbeya, Mwanza, bukoba, Dodoma hakuna cha zaidi nilichopata ni kuchoma mtaji tuu,
Kuna watu wanasema humu eti maisha yakiwa tight Dar nenda mikoani fursa kibao, hizo ni story tuu mikoani pagumu mzunguko wa pesa mgumu kabisa.
Tukutane kitambaa cheupe...
Yaaaan alieeenda kuangalia Simba ana moyoo jamani 😂.......
Napendaaa nimpongeze Sanaa sanaaa na pia kumpaaa uthibitishooo mbinguni inamhusuuu piga ua
Wish u all doest watani wanguu msiniangushe kwa Mtibwa jamani tutaaibika
Natumaini ni wazima wa afya leo nimerudi tena kutafuta mwanamke mwenye malengo na mapenzi ya dhati hapo mwanzoni niliopost thread ya kutafuta mchumba kuanza mahusiano serious lakin bado sijafanikiwa kupata.
Wengi wao ni hawapo serious ni kama wametumwa kumjaribu mtu tuachane na hayo sifa...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Tundu Lissu ametangaza kurejea rasmi nchini January 25, 2023 saa 7 mchana baada ya kukaa uhamishoni kwa muda mrefu.
"Hatuwezi kuendelea kuishi uhamishoni bila ukomo. Hivyo basi, ninapenda kuwafahamisha kwamba, panapo majaliwa, nitakanyaga udongo wa ardhi ya...
Ramadhan Kabwili amefunguka kuwa klabu yake ya Yanga iliamua kumpa likizo ya muda mrefu huku akiendelea kulipwa na Yanga kama kawaida
Anasema alipewa likizo ili akili yake itulie na atafute nafasi ya kuonana na mwanasaikolojia kutokana na kile ambacho kilitokea mitandaoni kumuhusu yeye...
Niliondoka kidogo nikaenda Sweden, Canada, USA, UK, Egypt, Dubai na South Africa. Nikarudi tena Canada kwenye moja ya nyumba zetu.
Nilipata habari za msiba kabla haujatangazwa sababu Ubalozi uliona ni vyema kuwaambia Raia zake kinachoendelea. Hivyo tukaondoka kuepuka matatizo kama yangetokea...
Nimekuwa na kawaida ya kutembelea vijiji mbali mbali, juzi nilikuwa Mufindi, nikakutana na Wachina kijijini Mapanda wanatafuta miti kwa ajili ya fenicha kiwandani kwao.
Siku moja nilikuwa kijijini kwetu, nikiwa kijiweni na madogo, nikashangaa kuona utitiri wa pikipiki, madogo wakaniambia hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.