Nimekuwa na kawaida ya kutembelea vijiji mbali mbali, juzi nilikuwa Mufindi, nikakutana na Wachina kijijini Mapanda wanatafuta miti kwa ajili ya fenicha kiwandani kwao.
Siku moja nilikuwa kijijini kwetu, nikiwa kijiweni na madogo, nikashangaa kuona utitiri wa pikipiki, madogo wakaniambia hapa...