narumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa wale Wachaga wa Narumu tukutane hapa

    Kwa wale wote mliozaliwa Narumu tukutane hapa, ruksa pia ambao hamkuzaliwa ila wazazi ni Wanarumu, mimi nimezaliwa Narumu kijiji cha Usari Isareni, Mzee Ketani Mambito ni jirani yangu, Narumu inapatikana Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro imepakana na Wilaya ya Moshi DC kwa upande wa mashariki...
  2. Taharuki yatokea kijiji cha Narumu, Machame Mashariki baada ya picha zikionesha migomba ikipandwa barabarani

    Viongozi wa serikali akiwemo diwani wa kata ya machame mashariki wafunga safari kwenda kukagua barabara ambayo Inadaiwa kuoteshwa Migomba baada ya kuahidiwa lami. viongozi hao akiwemo engineer wa wilaya baada ya kufika kijijini hapo na kukagua barabara inayodaiwa kuoteshwa Migomba na kukuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…