Heshima kwenu wote humu ndani.
Leo napenda kushare na ninyi hii siri.
Je wajua kua NASA, ni taasisi ya siri ya kijeshi ya jeshi la Marekani, ambayo serikali ya Marekani ime-invest millions of dollars ili kufanya majaribio ya makombora ya masafa ya mbali yaani ICBM, Inter Continental Balistic...