Ilianza Bitcoin enzi hizo sarafu po chini sana watu na fursa wakaruka nayo... Sasa hivi sarafu haishikiki walioiwahi enzi hizo wanakula kuku kwa mrija.
Ikaja binance nakumbuka 2017 late yake ilikuwa 0.007 kwa coin kwa sasa ipo 500+ usd
KWa sasa naona watu wanatamba na hii #pai, na ni kitu...
Habari za Leo?
Jamani, nimeshirikishwa fursa na mtu mmoja, anasema, Kuna biashara mtandao inaitwa Governmentwide Acquisition Contract (GWAC).
Watu wanawekeza pesa na ukishawekeza baada ya siku moja, unaanza kurudishiwa asilimia 10 ya pesa uliyowekeza kila siku mfululizo kwa mwaka mzima...
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kwa klabu ya soka ya Sfaxien kufuatia vurugu zilizoibuka baada ya mchezo dhidi ya Simba.
Pia, wameadhibiwa kwa kitendo cha mashabiki wao kutupa mafataki uwanjani kwenye mchezo dhidi ya Cs Constantine.
Hivyo, watacheza mechi mbili za nyumbani bila...
Wandugu maisha ya pombe ni mazuri sana yani ukiwa na stress ukinywa tu kila kitu kinakaa poa sana yani unasahau kila kitu ***** binafsi nikilewa nasikia burudani sana ila zingatio usinywe kupita kiasi kunywa kidogo tu kama mimi 😁
Ndiyo nipo kwenye vijiwe vya kahawa ndiyo habari kubwa ni hiyo ya makamanda wanalalamika eti pesa zinaliwa na wachache tu huku juu tu ila makamanda wa chini hawaambulii hata thumni ndiyo maana chama kinalega lega na kuleta migogoro ya mara kwa mara kabisa! Mmmmh ngoja tuone linaishaje hili saga...
Nasikia mpaka sasa anapiga jalamba chinichini.
Ametoa gari mbili ili kusaidia watu wakifiwa kusafirisha maiti toka Hospitali ya wilaya kwenda kuzika makwao kamba wakifiwa .Moja ni Hilux Nyeusi.
Je ataweza huu mkikikimkiki? Maana nasikia Kalemani, Katwale, Sende na Wababe wa Chato wapo kwenye...
Hii inatoka kwa rafiki yangu mmoja shabiki wa Yanga lia lia ambae ameumizwa sana na matokeo ya leo utafikiri yeye ndio Injinia Hersi Said. (Anaepaswa kuumia ni Injinia Hersi sio wewe ambae hata Yanga hawakujui wala hunufaiki chochote na Yanga)
Jamaa anasema Aziz Ki mara baada ya kufanyiwa...
Hii sio Sawa. Bora iludishwe tamisemi tuu. Nimesikia utaratibu wanaotaka kuutumia Sasa hivi ni kama ule wa kufundisha chuo àmbapo Kwa chuo kama huna GPA kuanzia 3.8 huwezi kuwa Mwalimu wa chuo.
Hiyo ni kuludishana nyuma. Wangesema mapema tangu tuko chuo. Huu uonevu. Bola watufikilie na sisi...
Wazee wa Tanga hata msingefanya lolote Ila karma ingeshughulika nao hao watu .
Mwaka 2021 yule bwana aliyekuwa anataka kumuua Tundu lissu alipokea Malipo yake
Nimeona Bashungwa kajitokeza fasta kusafisha anga baada ya Mwananchi kuja na makala hii, kweli uongozi mtamu! Malamiko kibao juu ya vivuko hivi hayaoni au? Ripoti ya CAG nayo ilieleza jinsi kivuko cha Azam kinavyolipwa baada vivuko hivi kuwa vichomi, leo anakuja kutuambia ni chuki binafsi?
--...
Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa.
Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni ndiko wengi tuli experience mapenzi kwa uhuru, nikamruhusu aende kupanga awe na gheto lake, uzuri ni...
Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024.
Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
Wakuu nina shida, mwanzoni nilienda kwenye polyclinic nikaambiwa nina UTI kali, so nikachoma sindano tano nimezimaliza juzi.
Shida ni kua nikiwa nimelala, nikisimama ghafla nasikia maumivu makali yanayotoka kwenye upande wa sikioni kushuka kwenye bega upande wa kulia.
Na kitu kingine nikiwa...
Serikali kwa bahati mbaya sana walifikiria kiurahisi tu watapetesha mishada ili Tanzania tuonekane na sisi tuna chaguzi za kidemokrasia. Matokeo yake ni kwamba Serikali ielewe nchi inabadilika.
Hakuna kitu kitakuwa kirahisi. Pamoja na kwamba Watanzania wengi wameonyesha upole lakini ukweli ni...
God bless.
Mashabiki wa Ninja tumefurahi sana kwa alicho kifanya mwamba kwenye mkwaju Nasikia harufu.
Huyu ndio Chidy tulie mjua.
Chidy umefunika sana kwenye hilo goma. Kwa ulicho kifanya Chidy kwenye hilo Goma kama ni mchezaji basi we Pacome.
Simu ziite simu ziite.
# Maurine sio mtamu...
Kuna jamaa yangu kavamiwa jana huko maeneo ya Kinyerezi na kundi la vibaka wakamsachi na kuchukua kila alichokuwa nacho. Anachoshukuru ni kwamba amefanikiwa kuondoka akiwa mzima wa afya na sasa yupo njiani kurejea Mwanza. Naongea naye ananiambia kwa idadi ya vijana waliomvamia aliona kifo...
Mimi ni mfanyabiashara mdogo, natengeneza vikapu vya ain mbalimbali.
Kwa siku nyingi sikuweza kuwa na account ya bank kutokana na gharama kubwa za kufungua account, hivyo pesa yangu niliitunza kwenye line ya simu.
Juzi kati nikiwa kwenye biashara yangu nilitembelewa na watumishi wa CRDB BANK...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.