nasreddine nabi

Nasreddine Nabi (Arabic: نصر الدين نابي; born 9 August 1965) is a Tunisian professional football manager and former player who is the manager of Moroccan club FAR Rabat.

View More On Wikipedia.org
  1. Cedric Kaze kocha msaidizi wa klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kufanya kazi Nasreddine Nabi

    Hatimaye plan ya Nabi kumleta Kaze ndani ya Kaizer Chiefs imetimia. Unaweza kusema colabo yao ndani ya Yanga katika misimu miwili yenye mafanikio imeifanya Kaizer nao kuwapa nafasi ya kufanya kazi pamoja. Ngoja tuone utavuna nini ndani ya msimu huu! =============== Aliyekuwa kocha wa Yanga Sc...
  2. Dakika za jioooni kabisa Nabi anakosa ubingwa Morocco

    Dakika za jioooooniiiii kwa sauti ya Pascal Kabombe, Nasreddine Nabi anakaribia kuukosa Ubingwa wa Morocco baada ya kuongoza ligi karibia msimu mzima. Baada ya matokeo haya, Raja Casablanca kwa mara ya kwanza wamekaa kileleni ikiwa imesalia mechi (1) pekee 🤔 ◉ Raja 1 - 0 Wydad Casablanca. ◉...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…