natafuta kiwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natafuta kiwanja Kitunda Magole

    Habari Wakuu naomba connection ya kiwanja KITUNDA MAGOLE nahitaji ninunue
  2. Natafuta kiwanja Dar

    Wakuu natafuta kiwanja Dar es Salaam cha million 4. Aisee nataka na mimi niwe na kwangu nimechoka kupanga kumfaidisha mwenye nyumba pesa. Nipo serious.
  3. M

    Natafuta kiwanja Kigamboni

    Habari Zenu. Natafuta kiwanja kigamboni maeneo ya Geza au Kisarawe ii. Buget inaanzia mil 10. sharti kiwe na hati ya wizara. Mwenye nacho anichek pm
  4. T

    Natafuta kiwanja maeneo ya Geza Ulole, Kibada na Mwongozo Kigamboni

    Habar wadau , natafuta kiwanja maeneo ya geza ulole, kibada n mwongozo ofa yangu ni milioni 2. Kam Kuna mtu ana kiwanja maeneo hayo naomba tuwasiliane
  5. Natafuta kiwanja Kivule mpaka Msongola. Bajeti ni milioni 5 na kisipungue sqm 300

    Habari wadau. Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Kivule mpaka maeneo ya Msongola. Bajeti yangu ni milioni 5. Ukubwa wa Kiwanja kisipungue sqm 300. Kama kikiwa kikubwa zaidi nitashukuru. Kama unauza kiwanja maeneo hayo karibu unipe sifa zake. Pesa ipo mfuko wa shati
  6. Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

    Nunua kiwanja kwa bei chee. Mbezi Msakuzi Makabe 18×22 kiwanja kina nyumba kuu kuu ya vyumba 3 bei mln 20 Kiluvya Gogoni 22×25 bei mln 9 Kiluvya kwa Komba 20×20 mln 6 Kiluvya kwa Sumaye 40×40mln 18 Kiluvya kwa Sumaye 20×20 bei mln 6 Viwanja vyote umeme na maji yapo jirani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…