Awe na sifa zifuatazo
Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30
Awe Mkristo
Awe tayari kupima hiv
Awe anaishi dar es salaam
Elimu bachelor ya kozi yeyote ile
Sifa zangu
Nina miaka 33
Kazi; duka kariakoo
Sina mtoto
Elimu bachelor
Habari ndugu zangu.
Mtaniwia radhi kama nitakuwa nimekosea au utakwazika kwa ujumbe wangu.
1. Natafuta mwanamke anayehitaji mume wa kumuoa. Mwanamke ambaye yupo "intrinsic" na hilo jambo;
2. Umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 33;
3. ASIWE NA MTOTO - kwa maana nyingine SIHITAJI SINGLE MOTHER...
Hodi humu ndani.
Naitwa Johnson mwenye umri wa miaka 38, natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri miaka 35 nakuendelea, Ambaye tayari ashamaliza mambo ya ujana.
Awe tayari kuishi mahali popote,awe mpenda maendeleo na mwenye kiu ya kuatamia maono nakuyafanya yawe kweli.
Njoo inbox tuyajenge.
Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo:
19 to 32 years
Mweupe na beautiful
Mrefu kiasi
Sio mnene wala mwembamba sana
Mwenye dimpoz
Awe tayari kushiriki tendo
Mwenye kujua kulea mtoto
Nitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3...
Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo :
awe Muslim
mweupe
19 to 22 years
-asiwe na kazi wala biashara yoyote
awe amelelewa kimaadili...
Hello Natafuta mwanamke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea mambo mengine tutaongea akipatikana. Mimi naitwa John niko Dar kwasasa. Umri wangu miaka 35.
kwema wa dada na mishangaz ya kati na maanisha wale wa 97 hadi 99, kama mada inavojieleza natafta mke mwenye tabia nzuri, mpole na mnyenyekevu pia mcha mungu. sifa hasiwe fake sana rang yeyote, mnene mwembamba ni sawa ila awe na makalio kidogo sio makubwa sanaaa.. kwenye swala la uchumi MIMI...
Hello
Naitwa Octavian mwenye umri wa miaka 37.Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia 28 nakuendelea.
Awe mkristu,kabila lolote.
Kazi yangu nimejiajiri . Aliye tyr aje pm tuyajenge au anicheck whatsap +255776110821 karibu Sana
Hi…
Mimi ni kijana 30+ nina tafuta mwanamke wa kuanzisha nae maisha Sifa :spiritually understanding
:mbunifu wa kutafuta kipato
:Asizidi 34+
Dini yoyote
Kazi yangu na vipaji pm
Wakuu kama kuna mwanamke hapa mwajiriwa aliyepo morogoro au mpanda nifunge nae ndoa ili niweze kuhama huku niliko wilaya ya pangani mkoa wa Tanga mimi ni muajiriwa sekta ya Afya maana huku niliko nahisi nitakufa masikini kwa kujitakia!Tafadhalini ajitokeze PM iko wazi......
Habari wakuu.
Nahitaji mwanamke wa kuoa ambae yupo tayari kwa mahusiano na kuolewa.
Umri wake uwe kuanzia miaka 20 mpaka 30 akiwa na mtoto sawa hakuna shida.
Sifa zangu
Umri 30
Habari ya uzima wenu wana JF?
Natumaini mu wazima.
Mimi ni mkazi wa Dar, ni muajiriwa na pia nina biashara zangu za kunipa senti mbili tatu. Umri wangu ni miaka 29 na ni mzaliwa wa mkoani Mwanza. Dini yangu ni mkristu.
Nakuja mbele zenu, nkiwasilisha ombi la kuweza kupata mwanamke ambae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.