nataka kuoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Imchomvu

    Nahhitaji mchumba mwanamke alie tayari anicheki tuyajenge huu mwaka nataka kuoa

  2. S

    Natafuta binti wa kuoa

    Mimi ni kijana wa miaka 23 ni mwajiriwa mpya katika jeshi Fulani Nina miezi 2 elimu degree ya upelelezi na Usalama ,Nafanya kazi kwenye taasisi ya jeshi Fulani natafuta Binti wa kuoa awe chini ya miaka 23 awe muislamu.
  3. J

    Nataka kuoa mke wa pili

    Nimeoa na nina mtoto na dini yangu inaniruhusu kuoa mke mwingine kuna mwanamke nampenda sana niliwah kuwa nae kwenye mahusiano zamani ila nae alisha olewaga akapata na mtoto ila wakashindwana na mwenzie kwaiyo sasa yupo tu nataka kumuoa na uwezo wa kuwahudumia wote ninao
  4. D

    Nataka kuoa Msukuma, chakula Chao cha asili nini nijiandae?

    Wanajamvi, nataka kuoa Usukumani. Demu mwenyewe yuko hapa Dar lakini tukikutana anakula kuliko mimi. Huwa wanakula nini na nijiandaye kwa lipi kwenye hili la kula?
  5. D

    Natafuta mke

    Kama kisemavyo kichwa cha habari natafuta mke awe na sifa zifuatazo Awe na umri miaka 25 mpaka 28 Awe mkristo ila sio msabato Elimu-degree yeyote Akubali kwenda kupima group la damu, hivi na baada ya miezi mitatu tutapima tena hiv bila ya kukutana kimwili Awe anaishi Dar sababu mimi mwenyewe...
  6. Loading failed

    Nataka kuoa ila nina wanawake wengi mpaka sijui nioe yupi kwa kweli

    Ndugu zangu Nina wapenzi wakike wengi sana mpaka sijui nichague yupi awe mke wangu Wanawake wangu wanatokea makabila haya na wote nimenyandua baadhi yao wanajuana katika kufumaniwa hapa na pale ila wengine hawajuani kabisa *Muha-2 *Mhehe-2 *Mchaga wa kimachame -4 *Mchaga wa kirombo-2...
  7. D

    Wazoefu naomba mnisaidie, nataka kuoa mwanamke wa kingoni, nini sifa zao kuanzia chumbani Hadi sebuleni?

    Swali langu linajitosheleza wana jf mnisaidie niingie Chaka ndugu zangu. Nampenda kweli lakini bado hatuja "du". Niepuke nini?
  8. M

    Nataka Kuoa japo sijui Namuoa Nani? Mwanaume mwenzangu umeshawai kutokewa na hali hii?

    Habari wadau. Kuna hali inanitokea inanishangaza sana, nimekua na hamu na ndoa ghafla since mwaka jana. cha kushangaza sasa sijui namuoa nani na nipo 35 yrs. Wanaume tunatumia nguvu kubwa kujitafuta na kulea wadogo zetu na wazazi wetu mpaka tunasahau kuandaa spouse. Hapa wanaume tunakosea...
  9. M

    Nataka kuoa naombeni ushauri wenu jambo litimie

    Kwakwel nataka kumuoa MAMA UMUT lakini sijui chochote yani kuhusiana na kupeleka barua na posa pia. Kwahyo nikaona nina familia kubwa na ndugu wengi huko JamiiForums niwashirikishe ili nijua BARUA inahitaji nini na iweje NA POSA iahitaji nini na iweje. ASANTENI SANA USHAURI WENU WANA JAMVI
  10. Equation x

    Nataka kumuoa huyu mlimbwende wa JF

    Habari wakuu, Kuna mlimbwende mmoja humu amenivutia sana, nataka msimu ujao wa mavuno, niweze kutangaza ndoa kabisa. Huyu mrembo ameiteka sana akili yangu, mpaka uwezo wa kufikiri umepungua; nilipo pishana naye tu barabarani, ilikuwa kidogo tu nigongwe na bajaji. Kupitia huu uzi, anatakiwa...
  11. D

    Nataka kuoa albino

    Weekend smart Wana JF Moja kati ya ndoto zangu Mimi ni kuoa albino,Hawa watu Huwa wananivutia sana Kila ninapowaona, tatizo tu huku mijini daslam hawaonekani. Kweli niliwahi kwenda kahama ila sikuambilia pia, leo hapa JF naomba kutangaza Rasmi Mimi DALALI MKUU nahitaji kuoa albino na kama...
  12. Ryzen

    Ushauri: Nataka nioe Binti wa Kishua

    Habari za siku ndugu wanafamilia wa JF!, Poleni na Majukumu Mazito ya kifamilia na ya kutafuta Mkate wa Kila siku hasa kwa awamu hii ngumu ya 5. Naomba nianzie hapa.. Kwanza kabisa mimi ni kijana wa Miaka 28 mwenye elimu ya shahada moja, katika harakati za maisha nilifanikiwa kukutana na binti...
Back
Top Bottom