Habari zenu wakuu! Natumaini mko poa na ni wazima wa afya hasa watu wa jukwaa hili la entertainment.
Nisifanye ajizi na niende moja kwa moja kwenye mada.
Mapema mwaka huu BASATA walitangaza kuwa tuzo za TMA zimerudi ambapo Seven Mosha wa Sony na Natasha Stambuli wa Boomplay walitangazwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.