Habari zenu wana JF
Nimekuwa nikileta story ya huyu mwanaume ni kama huu ni uzi wake wa 4 ama wa 3 nikihitaji ushaurii kuhusu mahusiano yetu mimi na yeye.. ninafikiri Leo Hii ndio itakuwa mara ya mwisho kumjadili humu na maamuzi nitayafaya kupitia huu uzi wa Leo Hii ( kuachana ama kubaki nae )...
- Yaliyopita yamepita tumwachie Mungu.
- Uchaguzi umekwisha tujipange kwa uchaguzi ujao.
- Wanachama wa Chadema tunawaomba mshirikiane na viongozi waliochaguliwa.
Asanteni kwa kunisikiliza.
Expect same shit from the same goons.
Rest In Peace Comred Maalim Seif, if you were you today...
Niliweka uzi huu jujwaa la biashara ila audience yake nilivyoiona ina mwamko mdogo wa mambo ya tech, nimeona niwaletee watu wa tech.
Ni biashara ambayo huwa naifanya kipindi ambacho game ya mpira toleo jipya likitoka, silaha kuu ni kujitahidi kuwa mtu wa mwanzo kabisa kumiliki mali, inasaidia...
Ndugu wanajamvi nategemea kwenda Shinyanga nikitokea Dar es salaam kwa Piki piki boxer cc125 mwenye uzoefu itakuwa vyema ukanisaidia.
Nataka kujua mafuta naweza kutumia kiasi gani. Je, nijiandae kwa changamoto gani barabarani pikipiki hii ninayotaka kuitumia ni mpya. na nina tegea kwenda na...
Usiniwaze Sana Mimi nawaza Maisha yangu.
Ili nifikie Goals na nisiweke- pause
Lazima niishi ki-padri (Priest life)
Nahitaji chukua Chuma ya Pili ili nimpatie My Mama that All na siwezi mchukulia Chuma ya Chini ya Mil 20
Wadau niko mbeya kwa ajili ya maonesho ya nane nane, nimeona mwitikio ni mkubwa sana ,unaweza kupotea ulikotokea ,hii imenipa picha kwamba watanzania wana kiu ya kusikia kero za kilimo zinatatuliwa.
Nchi yetu kwa sasa haina chakula kabisa. Hata hawa NMC hawana akiba tena. Tutasingizia mvua...
Kwakuwa Siku hizi kupatikana kwa PhD's ( Doctorates ) ni rahisi nchini Tanzania mwakani GENTAMYCINE nami najiandaa Kukiomba Chuo Kikuu Kimoja ( siyo cha Genius cha SAUT ambacho nimesoma na Kupikika vyeka ) kuwatunuku ambapo nitalipia pia Mbwa wangu Kipenzi aitwae Baitekon na Paka wangu Rafiki...
Mimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikuwa imelala kabisa.
Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii.
Karibu Makamba.
Katika utafiti nilioufanya kwa kutumia data za kuanzia 2010 hadi 2020( Monthly) nikitumia VECM model, zimeonesha deni la taifa linaiweka nchi katika hali ya kuingiza Economic Shocks kutoka nje ya nchi ambayo huathiri utekelezaji wa sera ya fedha. Aidha, Benki Kuu ya Tanzania(BoT) imeziandika...
Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya.
Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020.
Mdude...
Nisipokuta sehemu yoyote ile katika Kitabu anachoenda Kukizindua Keshokutwa (Jumamosi tarehe 8 May, 2021) Rais Mstaafu Mzee Mwinyi amekiri kuwa Awamu yake ndiyo 'Baba wa Rushwa' nchini Tanzania sitokinunua na nitakipuuza pia.
Mwenzake Rais Mstaafu (sasa Hayati) Mzee Mkapa nae katika Kitabu...
Habari za weekend wanajamvi,
Nina tegemea kupata 4M ndani ya siku kadhaa zijazo kusema kweli natamani nifanyie jambo ili izalishe imebidi niombe mawazo kwenu wadau.
Matumizi ya kawaida ninayo lakini nimeona kuiwekeza ni wazo zuri zaidi.
Je , ama niwewe ungefanyia nini?
Nawasilisha.
Zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.