Heshima sana wanajamvi,
Leo naomba tujikite katika mjadala wa athari za uuzwaji wa NBC kwa kampuni ya ABSA ya Afrika kusini.Miaka ya 90s NBC ilikuwa moja ya bank kubwa sana kusini mwa jangwa la sahara ikimilikiwa na serekali ya Tanzania.Kwa mujibu wa vyanzo mbali mbali bank hii ilikuwa...