Habari zenu wana jamvi leo nawaletea, mchongo huu hapa, kama unatamani kufanya utalii katika hifadhi ya taifa Tarangire na kuifahamu hifadhi hiyo na shughuli zake basi ujue gharama zake ni nafuu zaidi na utafanukiwa kufahamu mambo mengi zaidi kuhusu TARANGIRE NATIONAL PARK.
Njoo twende...
DISCOVER THE WONDERS OF TANZANIA
The Serengeti National Park is a world-renowned safari destination known for its vast grasslands and diverse wildlife, including the annual Great Migration of millions of animals. Meanwhile, the Ngorongoro Crater is a UNESCO World Heritage site, featuring a...
Mlima Nyaishozi changamoto yake kubwa kuwa historia
Ujenzi Barabara ya kiwango cha lami ya kutoka Bugene hadi Bugiri Chato mkoa wa Kagera urefu wa kilometa 60 kuifikia CHATO NATIONAL PARK unaendelea
https://m.youtube.com/watch?v=GkkKS4c16Rg
SERIKALI imetoa Sh bilioni 92.84 kwa ajili ya...
MIKUMI NATIONAL PARK & CHOMA WATERFALLS
(2 DAYS | 1 NIGHT)
*TAREHE 16-17th December 2023
GHARAMA, 155,000/=
SAFARI ITAANZIA DAR
ITAHUSISHA
-Malazi
-Usafiri kwenda na kurudi
-Chakula (Breakfast, Lunch, Dinner)
-Kiingilio
-Muongoza watalii
-Tozo za Serikali
SHUGHULI
- Kupanda mlima...
It has defeated Central Kalahari Game Reserve of Botswana, Etosha National Park of Namibia, Kidepo Valley National Park of Uganda, Kruger National Park of South Africa, Mapoja and Masai Mara National Reserve of Kenya.
53 seconds ago
0 2 minutes read
MONDAY October 16, 2023
Tanzania National...
Utalii wa Majini
Miongoni mwa maeneo ambayo utaweza kufanya utalii wa majini na nchi kavu basi hifadhi ya taifa Saadan ni miongoni mwa hifadhi ambayo inaweza kukupatia utalii wa aina iyo.
Hifadhi hii ipo mkoa wa Tanga nchini Tanzania. Ni hifadhi ambayo utafahamu mambo mbali mbali yanayohusiana...
Noela Shoo ni binti mdogo kwa umbo lakini she is so tough in action. Wadada na wamama Tunaopenda hiking tumekuwa tukiongozwa mara nyingi na wanaume, na kama ujuavyo changamoto zinazokabili mbuga na hifadhi zetu, vyoo ni mpaka ukute camp, kwa hiyo ukiwa njiani huwi comfortable sana.
This...
Wakuu,
Msaada wenu naomba kujua hotel nzuri yenye view Kali, yenye kila kitu naweza nipate namba za Simu jina na maelezo ya ziada nahitaji kwenda kuanzia Dec 15 mpk 20 kabla ya kwenda kuhesabiwa
Asante.
Mike Pence, Ametua Zanzibar kabla ya Ziara yake ya kitalii ya kutembelea Serengeti National Park.
Mike Pence (amezaliwa Juni 7, 1959) ni mwanasiasa wa kihafidhina wa Amerika ambaye alikuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi na gavana wa Indiana kabla ya kuwa makamu wa rais wa Marekani katika...
Hivi tunavyosema national park tunamaanisha nini? Ni sahihi kusema ni Mbuga za wanyama au mbuga za taifa? Kwani national park lazima iwe mbuga? Lazima iwe na wanyama? Tafsiri sahihi ya national park ni nini?
Habari wanaJF, mimi ni Mtanzania nataka kufahamu gharama za kutalii Ngorongoro national park (kiingilio, Malazi na Chakula) maana natamani kwenda ila nahofia nisije kuumbuka kwenye bajeti.
Nimekutana na mdau anasema Serikali ina mpango wa kukwepesha barabara ya Morogoro - Mikumi ipite Kilosa ili kuwanusuru wanyama mbugani.
Ukitazama ramani inaonekana umbali wa kutoka Morogoro kupitia Dumila au Kimamba ni mbali hivyo itaongeza gharama za ujenzi na matumizi ya nishati kwa wenye...
Ingekuwa sawa kama ongezeko la tozo za miamala na mafuta kwa wanyonge lingelenga kwenda kununua meli kubwa za uvuvi ili tuvue kisasa kwenye kina kirefu, kununua matrekta kwa wakulima ili walime mashamba makubwa, kuchimba madini ya kimkakati kama chuma au kusambaza nishati ya gesi nchini ili watu...
Habari wakuu,
Mimi toka nifanye mapenzi leo nimekutana na kitu cha tofauti msitu siyo msitu ila wenye kivuli cha tofauti.
Kuna ka mdada na siku kama nne na katongoza, kamemaliza form six mwaka Jana ila Bado kapo hm tu na ni majirani na niliko panga nikomaa nako sana ila kakawa kanadengua muno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.