nato

The North Atlantic Treaty Organization (NATO, ; French: Organisation du traité de l'Atlantique nord, OTAN), also called the North Atlantic Alliance, is an intergovernmental military alliance between 30 European and North American countries. The organization implements the North Atlantic Treaty that was signed on 4 April 1949. NATO constitutes a system of collective defence whereby its independent member states agree to mutual defence in response to an attack by any external party. NATO's Headquarters are located in Evere, Brussels, Belgium, while the headquarters of Allied Command Operations is near Mons, Belgium.
Since its founding, the admission of new member states has increased the alliance from the original 12 countries to 30. The most recent member state to be added to NATO was North Macedonia on 27 March 2020. NATO currently recognizes Bosnia and Herzegovina, Georgia, and Ukraine as aspiring members. An additional 20 countries participate in NATO's Partnership for Peace program, with 15 other countries involved in institutionalized dialogue programs. The combined military spending of all NATO members constitutes over 70% of the global total. Members agreed that their aim is to reach or maintain the target defense spending of at least 2% of GDP by 2024.

View More On Wikipedia.org
  1. Rorscharch

    Wanaodhani Lengo la Putin ni kuchukua Ukraine Kisha Kutawala Ulaya Wanajidanganya – Hiki Ndicho Kitakachotokea Vita Vikilipuka Kati ya Urusi na NATO

    UTANGULIZI: JE, VITA KATI YA NATO NA URUSI VINAWEZEKANA? Mvutano kati ya NATO na Urusi umeongezeka tangu kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti, lakini kwa kiwango kikubwa zaidi baada ya Urusi kuivamia Ukraine mnamo 2022. NATO ilipanua wanachama wake hadi mipaka ya Urusi, huku Urusi ikijibu kwa hatua...
  2. L

    Zelensky kwanini NATO na sio EU?

    Kitu hiki kinanishangaza sana na kuona kua kumbe Kuna baadhi ya Viongozi wazungu ni wajinga sana. Zelensky wa Ukraine ameng'ang'ania kutaka kujiunga na umoja wa kujihami kijeshi wa nchi za Magharibi ambao hauna faida yoyote ya kiuchumi na kisiasa zaidi ya ulinzi wa kijeshi. Nashangaa kwa...
  3. kavulata

    NATO ni kundi la mbwamwitu wanaosaidiana kuua wale.

    Bahati nzuri hakuna hakuna nyumbu anaemsadia mbwamwitu na Simba kuua nyumbu wenzake. Lakini bahati mbaya Kuna waafrika wanaoweza kusaidia wazungu kuua waafrika wenzake. Kuna watu wanaoweza kuzunguuka huko huko kuomba wazungu wainyime msaada nchi yake. NATO ni kundi la nchi ambazo zinasaidiana...
  4. Sir John Roberts

    Rais Putin akataa pendekezo la Rais mteule Donald Trump la kusitisha Vita na kuipa Ukraine uanachama wa NATO baada ya miaka 20 ijayo

    Rais Putin wa Russia amekataa pendekezo lilitolewa na Rais mteule wa marekani Bwana Donald Trump la kumtaka kusitisha mapigano kati yake na Ukraine na badala yake kuwepo na muda wa miaka 20 baadae ili Ukraine iweze kujiunga na Umoja wa za NATO. Sambamba na hilo Bwana Trump alipemdekeza pia...
  5. Mindyou

    Rais mteule, Donald Trump amesema yuko mbioni kujiondoa NATO

    Wakuu, Hivi huyu baba Trump ana washauri kweli? Hivi karibuni akiwa anaongea kwenye kipindi cha Meet The Press, amesema kuwa kwa sababu nchi wanachama wa NATO hawanunui bidhaa kutoka Marekani basi anafikiria kujitoa kwenye umoja huo wa kijeshi. Ikumbukwe kuwa Marekani ndio "contributor"...
  6. S

    Je, wajua kuna ofisi ya NATO kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika?

    NATO wana ofisi( liaison officer) kwenye makao makuu ya Umoja wa Afrika ( AU) yaliyopo Addis Ababa Ethiopia. Ofisi za NATO ziko hapo tangu mwaka 2015. Viongozi wanaouhusika na masuala ya kijeshi ya AU hufanya vikao na NATO mara mbili kwa mwaka. Tangu mwaka 2005, NATO imekuwa ikiunga mkono...
  7. State Propaganda

    Imebainika: NATO wanataka kumhadaa Putin kukubali kusitisha mapigano na kisha kugawana Ukraine kwa kutumia mwamvuli wa kupeleka majeshi ya kulinda ama

    Majasusi wa Urusi wamebaini mpango wa siri unaosukwa na mataifa ya Magharibi yanayopanga ku "freez" mzozo kwa a fake "cease fire deal"na kisha kutumia muda huo kisha kupeleka majeshi yake ya kulinda amani ambayo lengo lake kuu ni: 1) Kugawana maeneo ya Ukraine kimkakati 2)Kulipa msaada wa...
  8. kwisha

    Hivi nchi za NATO hazina nguvu kabisa ya kijeshi?

    Vita si jambo la kushabikia sana, lakini nchi kama Urusi, Iran, Korea Kaskazini, na China zinaonekana kushabikia vita. Wanafikiri pengine ni wao pekee wenye nguvu kubwa za kijeshi na silaha za maangamizi, wakipeana sifa kiasi hicho. Mara nyingi utasikia, "Korea itamshambulia Marekani," na...
  9. MakinikiA

    Russia deploy S 500 air defence all Nato country coverd

    ‼️ S-500 Anti-aircraft Reach Russia has deployed S-500 air defense systems in Crimea. Here are some basic specifications to consider in relation to the S-500: The S-500 has a 600km range in an anti-ballistic missile role; 500km in an air defense role. Viewed solely in terms of its...
  10. green rajab

    Kasi ya mauaji ya Wanajeshi NATO huko Ukraine yaistua Marekani

    Marekani imestuka baada kasi mauaji ya wanajeshi wa NATO huko Ukraine kuongezeka huku Russia akaikamata maeneo kwa spidi ya ngiri....hofu hiyo imefanya Blinken aropoke China iondoe wanajeshi North Korea Russia tuelekee studio.. Update: NATO backed Ukrainian forces and on the verge of total...
  11. Komeo Lachuma

    Putin anakumbusha NATO kuwa wasimsaidie Ukraine silaha. Ama sivyo wataona cha moto

    Sasa hapa nachanganyikiwa. Sisi huku tunasema Ukraine anasaidiwa na NATO. Putin anasema bado ila wakijaribu atawapasua. Sasa lipi ni lipi? 1. Je Ukraine anasaidiwa na NATO? 2. Je Onyo ambalo alitoa Putin kuwa wakisaidiwa atasambaza kipigo kwa msaidizi halifanyi kazi...
  12. SaintErick

    Za ndani: Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya haziko tayari Ukraine kujiunga na NATO

    Naam, unaweza kudhani ni mzaha lakini ndivyo ilivyo. Mwaka huu viongozi wengi wa ngazi za juu kutoka Ulaya na Wanadiplomasia mbalimbali wamekua wakipishana huko District of Columbia (Washington), Arlington-Virginia na New York wakipishana milango ya White House, Makao maku ya Republicans...
  13. kimsboy

    LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran

    Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo Yemen tayari keshaandaa wanajeshi laki 4 Iraq kuna wanajeshi laki 2 na nusu Hezbollah wapo zaidi laki...
  14. SaintErick

    NATO na EU wapo katika tope ambalo huenda wakahitaji watolewe na walio nje ya taasisi hizo

    Muungano wa kijeshi wa NATO pamoja na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya kwa sasa wanakabiliwa na changamoto kubwa zaidi tangu kumalizika kwa mzozo wa vita baridi miaka ya 1990s. NATO ilijisahau na kua na utegemezi wa Marekani kwa asllimia kubwa. Lakini katika kipindi cha Urais wa Donald Trump...
  15. kavulata

    Ulaya Wana NATO Afrika tuna nini?

    Wazungu wanayo NATO inayowalinda dhidi ya mataifa mengine, je, Afrika tunalindwa na nini dhidi ya mataifa mengine duniani. Bara liko tayari kutawaliwa Tena.
  16. Li ngunda ngali

    Inasemekana NATO wamemtaka Zelensky akimbie Nchi, je ni kweli?

    Nasikia NATO wamemshauri Zele akimbilie Poland kujificha kunusuru maisha yake.
  17. green rajab

    Wanamgambo 100 wa Ukraine na Wakufunzi 40 wa NATO wauwawa

    Russia imeshambulia kwa Kombora la Iskender ghala lilokuwa linatumika kama maficho ya Wanamgambo Ukraine na Magaidi 40 wa NATO waliokua wakitoa mafunzo huko Kharkov.. 🚨🇷🇺🇺🇦A successful Russian Iskander-M strike on a warehouse in Kharkov just killed 100 Ukrainian militants of which 40 were...
  18. green rajab

    China waionya NATO

    ☢️☢️🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Mda mfupi Uliopita Waziri wa Mambo ya nje wa Urusi Sregei Lavrov ameonya aidha NATO au Ukraine itapotea kwenye ramani ya Dunia endapo Ukraine itajiunga na Umoja huo wa Kigaidi. 🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳 Nayo China imekazia onyo kwa NATO JUST IN: 🇨🇳 China issues warning to NATO...
  19. green rajab

    Putin atahadharisha ataingamiza NATO kwa WWIII au Nyuklia

    BREAKING NEWS Putin amesema NATO inafanya makosa makubwa kushambulia ndani ya Russia, Jibu la Russia itakua na sehemu mbili kuanzisha Vita vya tatu vya Dunia na kuiangamiza NATO au kuwatwanga Nyuklia. NATO is making big mistake to strike inside Russia, we will destroy NATO either by fighting...
  20. Yoyo Zhou

    NATO na SCO zinatofautiana katika kudumisha amani na utulivu

    Mkutano wa 24 wa Baraza la Viongozi wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) umefanyika hivi karibuni huko Astana, Kazakhstan, ukiwa na kauli mbiu ya “Kuimarisha Mazungumzo ya Pande Mbalimbali na Kutafuta Amani na Maendeleo Endelevu”. Mkutano huo umezingatia usalama wa...
Back
Top Bottom