Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema hana wasiwasi kuhusu hatma ya NATO, akisisitiza kuwa muungano huo haupo hatarini.
Akizungumza katika mahojiano na Fox News, alisema nchi za Ulaya ni matajiri na zinapaswa kuwekeza zaidi katika usalama wao badala ya kutegemea Marekani.
Aliongeza kuwa...