Habari za majukumu!
Nategemea kuvuna matikiti mwezi huu wa 8 tarehe 24-25, shamba lipo mkulanga, unaruhusiwa kutembelea shambani muda wowote kuangalia na kufanya makubaliano muda wowote kuanzia sasa!
Nategemea kuvuna kuanzia ton 7 na kuendelea, pia kwa mwenye connection na wanunuzi wa zanzibar...