Ndugu zangu kumekucha
Week hii Nina bonge la offer sitaki mtu ateseke ati
Kuna hizi simu za smart pendwa watu wengi wanapenda kukopesha
Nimeona matangazo mengi eti kianzio elfu 80 halafu kila week ulipe elfu 15,600 miezi 6
Hii simu Samsung A05 64 GB nakupa Mimi kwa 220,000 tu pia A06 64 GB...