Ameburuzwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Mwanza akikabiliwa na kosa moja la Ulawiti
Amepandishwa leo July 9 baada ya makelele mengi ya wadau kutaka haki itendeke
Bado haijajulikana kama ataswekwa Rumande au atapata dhamana.
====
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Yahaya Nawanda, amefikishwa...
Hizi ngojera za kila siku kuhusu huyu mtoto aliyedai kulawitiwa na RC Nawanda ifike wakati ziache kukihusisha Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake.
Si-CCM Wala Serikali ya CCM wanaoagiza mwanachama au kiongozi yoyote kuvunja Sheria ndio maana Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alimwondoa Nawanda...
Team,
Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;
Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.
Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.