nay wa mitego

  1. Cute Wife

    BASATA waufungia wimbo wa Nay 'Nitasema'

    Wakuu, Ila BASATA mmekuwa zaidi ya mizigo! Kwa hawa watu wote wanaotekwa na kuwataja polisi 🤣 🤣 au wenzetu hamjui Kiswahili. Mapana naona ndio utakuwa kiongozi kituko kuwahi kutokea tokea BASATA ianzishwe! Halafu serikali na CCM hamjifunzi, yaani mnarudia mambo yale yale ambayo yakuja ku...
  2. and 300

    Nay wa Mitego anyemelea Jimbo la Ubungo

    Msanii tajwa anajipigia promo ili 2025 agombee ubunge kupitia jimbo la Ubungo. 2025-2055 Ni Professor Kitila Mkumbo (PhD) CCM tu. https://m.youtube.com/watch?v=wMdB_2ZLgy4&pp=ygUWbml0YXNlbWEgbmV5IHdhIG1pdGVnbw%3D%3D
  3. Cute Wife

    Pre GE2025 Haya ndiyo makosa ambayo BASATA wanamtuhumu Nay wa Mitego kutokana na wimbo wake wa "Nitasema"

    Wakuu, Ndio walikuwa wanajitapa na uhuru wa kutoa maoni kuongezeka. Kauli za kichochezi inatakiwa kutolewa maana. Huku ni kutufanya mabubu wazi wazi. ====== HATI YA MAKOSA KOSA LA KWANZA Kutoa wimbo kwa walaji bila kibali, kinyume na Kanuni ya 25(1) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa...
  4. Erythrocyte

    Ney wa Mitego aitwa BASATA kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’

    Ni kutokana na Wimbo wake Kabambe unaozungumzia Utekaji wa watu kutupwa Ununio Namshauri aongozane na Mwanasheria wake. ======= Msanii Nay wa Mitego amesema amepokea barua ya wito kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), kufika kwenye kikao ili kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’ kilichopangwa...
  5. The Watchman

    SI KWELI Wimbo wa Nay wa Mitego uitwao Nitasema, umefutwa youtube na yeye hajulikani alipo

    Nimekutana na post katika mtandao wa X ikisema Wimbo wa Nay wa Mitego alioutuoa hivi karibuni umefutwa na yeye hajulikani alipo, je kuna ukweli wowote?
  6. The Sheriff

    Nay wa Mitego: Asilimia kubwa ya wasanii ni wa Serikali. Tuache uoga wa kukemea mambo ya kikatili na kutegemea Wasanii kupaza sauti

    Msanii wa Muziki wa Hip Hop nchini Tanzania Nay Wa Mitego amesema hajawahi kuwa katika Chama cha Siasa lakini amechagua upande wa kuwasemea Wananchi ambao ni Mashabiki wake. Nay amesema hayo wakati akijibu baadhi ya maoni ya wananchi kuhusu ukimya wa Wasanii wa Tanzania pale yanapotokea matukio...
  7. P

    Wimbo wa Nay wa Mitego umewagusa Wakenya, wajiuliza ni jiwe kwa serikali yao au kwa Tanzania!

    Wakuu, Nay wa Mitego amedondosha jiwe jingine, ngoma inaitwa "Wapi Huko", kwenye wimbo huu anagusima mambo mengi ikiwemo hali ngumu ya maisha, akisema kwenye nchi hiyo bei ya pombe ni rahisi kuliko chakula, uchumi unachechemea, muda wa kazi umeme haupatikani, soka imeingiliwa na siasa, wananchi...
  8. Kinjekitile Jr

    Roma Mkatoliki na Nay wa Mitego, ni muda wenu sasa kuwa wabunge/viongozi ndani ya nchi hii

    Wasalaam Wakuu.............!!! Moja kati ya mambo ambayo uwa naumia sana kuyaona kwenye hii nchi ni kuwaona watu wasio staili kukalia nafasi za wale wanao staili Ukienda Bungeni kuna watu mpaka unashangaa mwenyewe,alitumia mbinu gani mpaka akaupata ubunge? Mtu Kama Babu Tale,Mwana FA,Michael...
  9. Suley2019

    BASATA: Nay wa Mitego ni mtoto wetu, hatujamfungia

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Dkt. Kedmon Mapana, ameeleza kwamba BASATA haikumfungia mwanamuziki Emmanuel Elibariki, maarufu kama ‘Nay wa Mitego,’ kufanya maonyesho, lakini walimuita kuzungumza naye ili kurekebisha baadhi ya mambo. Akizungumza na waandishi wa habari...
  10. JanguKamaJangu

    BASATA: Tulimzuia Nay wa Mitego kufanya shoo kwa kuwa amekataa wito wetu mara mbili

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema limetoa wito mara mbili kwa Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kufika ofisini kwa ajili ya mazungumzo khusu wimbo wake wa Amkeni lakini hakutokea na hiyo ndio sababu ya taasisi hiyo kumnyima vibali vya kufanya shoo Mkoani Njombe. Mwanasheria wa...
  11. BARD AI

    Nay wa Mitego aitwa BASATA

    Katika ukurasa wake rasmi wa Instagram Nay wa Mitego anaandika: Nimepokea Barua Ya Wito Kutoka Kwa Walezi Wetu @basata.tanzania Kwa Ajili Ya Kikao So Nitafika Kwenye Kikao Siku Iliyo Pangwa. Naamini Kitakua Kikao Kwa Ajili Kuijenga Sanaa Yetu. Coz Naamini Kuijenga Na Kuikuza Sanaa Yetu Ni Moja...
  12. hermanthegreat

    Roma naye amkataa Nay wa Mitego

    Roma kwenye account yake ya Twitter ameandika haya #YAH: SIHUSIKI KWENYE HILI. Kwenu @BasataTanzania Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu, Huyu Kijana NAY Ni Muongo Sana, Mimi Sijamtumia Kitu Chochote Wala Sijahusika Kwenye Wimbo Wake Huo, Kwanza Hata Namba Yake Ya Simu Sina, Ananisingizia Na...
  13. hermanthegreat

    Roma naye amkataa nay wa mitego.

    Habari Wanajf , Roma kwenye account yake ya Twitter ameandika haya kuhusu nay wa mitego. Kukanusha kwamba amemsaidia nay wa mitego baadhi ya mistari kwenye wimbo wake wa "amkeni* "#YAH: SIHUSIKI KWENYE HILI. Kwenu @BasataTanzania Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu, Huyu Kijana NAY Ni Muongo...
  14. Sildenafil Citrate

    TCRA yapiga stop wimbo wa Nay wa Mitego kuchezwa kwenye vyombo vya habari

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuzuiya wimbo uitwao "Amkeni" uliopigwa na mwanamuziki Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego) kutopigwa katika mitandao ya kijamii na vombo vya habari. Aidha, kwa mujibu wa BASATA, maudhui ya wimbo huo...
  15. M

    Nampongeza Nay wa mitego kwa kuwapatia CHADEMA agenda

    Mimi ni shabiki lialia wa muziki wa Hiphop (Rap). Kuanzia rappers wa ndani hadi wale wa America. Kimsingi Hiphop ni muziki wangu pendwa zaidi. Simu yangu ina nyimbo za Sugu, Kalapina, N2N, Prof Jay & HBC, Nay Trueboy, Naziz, biso na biso, Zay B, Missy Eliot, Dr Dre, Jay Z, 2pac, Dmx, na wakali...
  16. S

    Wimbo mpya wa Nay wa Mitego kuhusu bandari views 71,000 ndani ya saa 7

    Wimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa amkeni unaozungumzia sakata la Bandari, Ripoti ya CAG na ugumu wa maisha umefikisha watazamaji 71,000 na comments zaidi ya 2,000 ndani ya masaa 7 tu tangu uachiwe hewani
  17. Mwl.RCT

    Video | Nay Wa Mitego - Kudada deki

    = = Kudadadeki Lyrics By Nay Wa Mitego Below: Heeeh whatsap ma people Its me again baba yaga I'm on it Leo sitaki kuimba nataka nichane Na mizuka ikinipanda mniruhusu nitukane F**k haters coz hate for no reason Dua nyingi mrudi uraiani wanangu mlioko prison Mi niko busy bwana na...
  18. Mwl.RCT

    Nay Wa Mitego | Sauti Ya Watu

    = Nay hajawahi kuniangusha ! Ujumbe umefika...... =
  19. BARD AI

    TCRA yapiga marufuku wimbo wa Nay wa Mitego uitwao "Tozo"

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imetoa agizo hilo kwa vyombo vyote vya Utangazaji nchini baada ya kupokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa BASATA. Kwa mujibu wa barua ya TCRA imesema baada ya BASATA kuhakiki wimbo huo imebaini kuwa maudhui yake hayafai kutumika katika jamii na...
  20. Suphian Juma

    Wasanii Roma, Nay wa Mitego na nusura ya kifo

    WASANII ROMA, NAY WA MITEGO NA NUSURA YA KIFO. Ilikuwa alfajiri majira ya saa 10, nikatoka ndani ya Ukumbi wa Silver Sand uliokwepo pembezoni kwa bahari ya Hindi nikaelekea hadi nje ya geti ili kukwepa makelele ya muziki ndani na kupata wasaa wa kuongea na Msanii Nay wa Mitego aliyechelewa...
Back
Top Bottom