Mimi ni shabiki lialia wa muziki wa Hiphop (Rap). Kuanzia rappers wa ndani hadi wale wa America. Kimsingi Hiphop ni muziki wangu pendwa zaidi. Simu yangu ina nyimbo za Sugu, Kalapina, N2N, Prof Jay & HBC, Nay Trueboy, Naziz, biso na biso, Zay B, Missy Eliot, Dr Dre, Jay Z, 2pac, Dmx, na wakali...