Nay wa Mitego amesema yeye ni mtu ambaye hapindishipindishi maneno na kama ukikosea au ukimzingua atakuchana ukweli labda hiyo ndiyo sababu ya Harmonize kujishtukia na kumblock Instagram.
"Mimi sina tatizo na Harmonize, nipo straight sana hata kama ni mshkaji wangu ukinizingua au ukinikosea...