Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera Nazir Karamagi amefikishwa katika baraza la ardhi la wilaya kwa kupora ardhi ya mwananchi katika kijiji cha Itahwa na kupanda mazao ya parachichi.
Mwenyekiti Karamagi anatuhumiwa kupora heka sita.
Huyu ni mmojawapo wa viongozi aliowahi kuwataja...
Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukoba Vijijini mwaka 2005-2010 Naziri Karamagi ameibuka kidedea ametangazwa kuwa mshindi katika nafasi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera baada ya kupata asilimia 58 ya kura zote zilizopigwa
Karamagi amemshinda mwenyekiti anayemaliza muda wake...