Hello bosses and roses, it has been a while...
Leo ngoja nimuongelee huyu kinda wa NBA kwa jina la Antony Edwards au Ant-Man, dogo wa 2001 tu hapa anaekipiga kwenye team ya Minnesota TImberwolves.
Huyu dogo ni hatari, kama umefuatilia NBA playoffs utaona kaongoza timu yake kuingia semi-final...