MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetunukiwa tuzo ya mshindi wa kwanza ya umahiri katika uaandaji wa taarifa za mahesabu kwa mwaka unaoishia 2023, katika kundi la hifadhi ya jamii.
Tuzo hiyo imepokelewa na Meneja wa Fedha, PSSSF, Bi. Vonness Koka, kwa niaba ya Mkurugenzi...