Kwa muda sasa, makampuni ya utalii nchini Tanzania yamekuwa yakikumbana na changamoto kubwa kutokana na tofauti za viwango vya kubadilisha fedha vinavyotumika na taasisi za serikali kama TANAPA na NCAA. Hali hii ni ya kusikitisha na ni kinyume na juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan za kukuza...
Kwa muda sasa, waendeshaji wa safari (waongoza watalii) nchini Tanzania wamekuwa wakikumbana na changamoto kubwa kutokana na tofauti za viwango vya kubadilisha fedha vinavyotumika na taasisi za serikali kama TANAPA na NCAA. Hali hii ni ya kusikitisha na ni kinyume na juhudi za Rais Samia Suluhu...
Serikali itaendelea kuboresha bajeti ya Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori(TAWA), Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kutegemeana na hali ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali ili kuimarisha shughuli za ulinzi na kuboresha miundombinu ya utalii.
Haya...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Elirehema Joshua Doriye kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la #Ngorongoro (#NCAA)
Dkt. Doriye anachukua nafasi ya Richard Rwanyakaato Kiiza, ambaye aliondolewa katika nafasi hiyo Machi 15, 2024
Aidha, Christopher Derek Kadio ameteuliwa...
UTEUZI: Rais Samia Sululu Hassan, ametengua Uteuzi wa Richard Rwanyakaato Kiiza, aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).
Pia Soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA...
Kwa wale wanaotumia hii mifumo miwili watakubaliana kuwa mfumo wa TANAPA ni wa kisasa na rafiki kuutumia wakati wote wa taratibu za booking za wageni ukilinganisha na wa NCAA
Ukiangalia kwa makini unaweza kuona kuwa hii mifumo inafanana pengine kwa 95% hivyo ilikuwa kuboresha tu kidogo kuruhusu...
Hapa naongelea kivutio cha NGorongoro
Naona kuna usumbufu usio wa lazima ambao unaweza kupatiwa ufumbuzi kama mamlaka wataamua kufuata ushauri wa wadau wanao waletea wageni
1. Mgeni akibadilisha tarehe ya kuingia Ngorongoro hata kwa siku moja, kwa sababu zozote zile
Haruhusiwi kuingia hadi...
Na Lukumay M.
Ufinyu wa taarifa sahihi ni janga jipya katika Dunia ya sasa. Wanasiasa wanautumia mwanya huu kubeba ajenda zao binafsi bila kuzingatia ukweli. Kwanza kabisa niweke wazi mimi ni mzaliwa wa kijiji cha Enduleni ndani ya NCA hivyo naandika ili kukupa uhalisia na si vinginevyo...
UNESCO: Wenyeji wa Ngorongoro Wahame. Wafanyakazi wa NCAA na Mahoteli waishi nje ya Hifadhi
Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro si eneo ambalo ni Hifadhi ya Taifa na vile eneo hili la Ngorongoro halipo chini ya shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na badala yake ni shirika huru kama jinsi ilivyo...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAMKO LA MADIWANI NA VIONGOZI WA MILA (ILAIGWANAK) WA ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO (TARAFA YA NGORONGORO) JUU YA UHIFADHI NA JAMII
Sisi, Madiwani na Viongozi wa Mila (Ilaigwanak) wa Tarafa ya Ngorongoro (eneo la Hifadhi ya Ngorongoro), Wilaya Ngorongoro kwa niaba...
Leo katika majadiliano ya bajeti, nilimsikia Spika anahoji juu ya TRA kwenda kukusanya mapato katika mamlaka za hifadhi za wanyama pori pamoja na hifadhi kitalii, nikashangaa kumbe mpaka wa leo kuna Taasisi zinajipangia matumizi ya hela waliokusanya!
Dah! Si mchezo kama hamkupiga vizuri basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.