nccr

The National Convention for Construction and Reform – Mageuzi, popularly known by its acronym NCCR–Mageuzi, is an opposition political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. CCM: Hatujawahi kumtumia Mbatia amshawishi Selasini na Komu kujiunga nasi wala hatuna ushirikiano na NCCR Mageuzi

    "Chama cha Mapinduzi (CCM) kinakanusha vikali madai yaliyotolewa na mwanasiasa Joseph Selasini yanayodai CCM kimewahi kumtumia James Francis Mbatia au kuwa na ushirikiano na NCCR-MAGEUZI” Shaka Hamdu Shaka Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
  2. Joseph Selasini: Mwaka 2020 Mbatia alitupeleka na Anthony Komu kwa Dkt. Bashiru Ally kufanya makubaliano na CCM

    Picha: Joseph Selasini Joseph Selasini: Kuna barua inaonekana kusambaa katika mitandao ya kijamii ikidaiwa kusaini wa na katiba kata wa Makiidi nyumbani kwetu, ikinihusisha mimi na uanachama wa CHADEMA. Niliondoka CHADEMA mwezi Juni 2020, na tangu nilipoondoka CHADEMA sikurejea tena" Joseph...
  3. M

    James Mbatia Kusimamishwa NCCR Mageuzi, Mrema anasemaje? Mbatia alihusika kumtoa Mrema NCCR, isije ikawa anavuna alichopanda!

    Mtu unaweza kumfanyia jambo baya mwenzako halafu unasahau. Ukifika wakati wa kuvuna uovu uliopanda mtu hulalamika sana na kutafuta huruma kwa watu!! Lakini ni wazi kuwa Mbatia alishiriki kumng'oa Mrema pale NCCR Mageuzi akishirikiana na wenzake!! Alichokifanya kinamrudia. Namshauri aende kuomba...
  4. M

    Double Standard bila soni: Mbatia kutojihusisha na NCCR hadi itakapoamuliwa vinginevyo, Wabunge 19 kujihusisha hadi itakapoamuliwa vinginevyo

    Msajili wa vyama vya siasa amebariki uamuzi wa Mbatia na Sekretarieti yake yote KUTOJIHUSISHA na siasa ndani ya NCCR Mageuzi hadi itakapoamuliwa vinginevyo (yaani endapo wataenda mahakamani), Lakini tukija upande wa wabunge wa Covid 19, wenyewe wataendelea KUJIHUSISHA na siasa ndani ya CHADEMA...
  5. Picha: Mwenezi NCCR Mageuzi akiwa na jiwe mkononi huku akiwafurusha mamluki wa Sisty Nyahoza

    Huyu ndio anajua kupambania chama.
  6. Ilianzia CUF, sasa NCCR. CHADEMA wajiandae

    MGOGORO WA NCCR CHADEMA WACHUKUE TAHADHARI Mgogoro wa CUF ulianza kwa mwenyekiti aliyejiuzulu kutaka kurudi katika kiti chake Tukio halikuwa la kawaida katika siasa za Tanzania lakini limetokea. CUF walifanya mambo kwa mazoea wakidhani isingewezekana kisiasa au Kisheria. Msajili wa vyama...
  7. Shuhudia vijana wa Mbatia wakitembeza kichapo

    Vijana wa Mbatia wapo vizuri kabisa.
  8. NCCR Mageuzi yamsimamisha James Mbatia kufanya shughuli za Chama

    Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wake, James Mbatia kufanya shughuli zote kisiasa za chama hicho mpaka pale atakapoitwa kwenye mkutano mkuu kujieleza. ======= Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia na...
  9. Q

    NCCR Mageuzi: TCD ni Wafanyabiashara wa Demokrasia

    TCD ni wafanyabiashara wa demkorasia;kama wanaweza kuwarubuni Viongozi wa NCCR kwenda kwenye kikao wakijua chama kimeshatoa msimamo kutoshiriki maana yake wamewafanyisha biashara watu hao ili kutimiza malengo yao"Mwabukusi,Mwansheria wa chama
  10. Viongozi NCCR Mageuzi wahudhuria mkutano wa TCD licha ya tamko la chama kutangaza kutoshiriki

    Viongozi wa kitaifa wa NCCR MAGEUZI wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ambar Haji Khamis wamehudhuria mkutano ulioandaliwa na TCD ambao mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 5, 2022 Mkutano huo unajadili maridhiano ya kitaifa katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma. Viongozi...
  11. J

    Ni vema mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA pakawepo ulinzi wa polisi yasije yakatokea kama ya Mrema enzi za NCCR kule Tanga

    Ni ushauri tu kwa sababu kikao hiki kinaweza kuwa cha kihistoria kufuatia mambo makubwa yaliyotokea hivi karibuni. Ni wazi kuna kamgawanyiko fulani ndani ya Chadema baada ya mwenyekiti wao Freeman Mbowe kumualika nyumbani kwake KC wa ACT wazalendo Mh Zitto Kabwe. Mwaliko ule umetafsiriwa kama...
  12. Mbowe, Mangula, Mbatia, Lipumba na Duni kushiriki Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridhiano

    Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora ajisalimishe kwa wanaCcM na kuwa nao ili alinde biashara zake. Huyu kiongozi wetu ni mtu wa kujali matumbo...
  13. B

    Kujiuzulu kwa Ndugai: Hongereni CHADEMA na NCCR japo haikutosha

    Amefurushwa Mh. Ndugai kiongozi wa mhimili kinyume cha katiba. Katika hali ya kusikitisha, ni Chadema na NCCR pekee ndiyo angalau wamefahamika wanasimama wapi kwenye kadhia hii: Bado hakuna matamko yoyote rasmi ya kupinga au hata kukemea vikali kabisa ukiukwaji mkubwa huu wa haki za Mh...
  14. NCCR-Mageuzi na CHADEMA matokeo ya kuzira yanawadhoofisha

    Eti wamezira ,sababu kubwa walitaka waende peke yao au walitaka yule wanaemuona adui yao yeye asiwepo(ccm)au walitaka afungwe mikono na miguu ndio waende,au wapewe upendeleo wakupigiwa magoti ndio waende,au kwasababu mbowe yupo segerea,,yalaaa,,wakati mwingine walihisi kwamba ni mkutano wa rais...
  15. B

    Kuelekea Mkutano wa Vyama vya Siasa Kitaeleweka tu

    Kuelekea ule mkutano wa vyama vya siasa: 1. Chadema hawa hapa: 2. NCCR nao hawa hapa: Hadi siku ya siku mbona kitaeleweka tu? ZZK na bwana Nondo namna gani pale?
  16. NCCR Mageuzi yaungana na CHADEMA, ACT Wazalendo kususia mkutano wa Msajili wa Vyama vya Siasa

    Chama cha NCCR- Mageuzi kimetoa hoja tatu za kususia mkutano ulioitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini (ORPP) ikiwemo ya kutoshirikishwa katika maandalizi na kutokuwepo kwa uwazi. Mkutano huo umepangwa kufanyika Dodoma Oktoba 21 hadi 23, 2021 na utahusisha wadau watatu ambao ni...
  17. Alichokifanya Mwalimu Nyerere Mwaka 1995 mbele ya Macho yangu

    Nikiwa Darasa la Saba Mwaka 1995, kama kijana yoyote wa Moshi Mjini Nilikua na Hamasa Kubwa Kisiasa, Na Moshi Mjini Ilikua Imewaka Moto Kisiasa. Bwana Mrema Alikua Amejiunga na NCCR Mageuzi, Nayo NCCR ikaunganisha Nguvu Na CHADEMA Wakaweka mgombea Ubunge Bwana MTUI...na Urais Akawa Bwana...
  18. James Mbatia: Tunatoa pole kwa CCM kuondokewa na kada wao Hamza katika mazingira ya ajabu

    "Sisi NCCR-Mageuzi tunatoa pole kwa polisi waliouawa juzi, tunatoa pole za dhati kwasababu ni binadamu, wametoa uhai wao. Tunatoa pole kwa familia ya Hamza pia kwasababu huyu ni binadamu, wasiendelee kujenga chuki, tunatoa pole kwa wote, roho za binadamu zilizoondolewa. Tunatoa pole kwa chama...
  19. Q

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia awapa pole CCM kwa kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza

    Nashangaa kwa @ccm_tanzania kumkana kada wao Hamza aliyefanya mauwaji dhidi ya Polisi, sisi kama Chama tunawapa Pole Chama Cha Mapinduzi kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza, wasione aibu" James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI.
  20. Sijasikia nguli yoyote wa Sheria akijinasibu kumnasua Mbowe. CHADEMA sio kama NCCR ya akina Marando

    Tukubali ukweli tu kuwa chama chetu hakina watu mahiri na makini kama enzi za akina Marando wa Nccr mageuzi. Kesho mwamba ataletwa Kisutu na kisha kusomewa Commital. Naona wanasheria wa mwamba wanalalamikia kukamatwa kwake lakini hawajasema kama watamchomoa,means wamekubali yaishe. Enzi zile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…