ncha kali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Mwanakwaya auawa kikatili kwa kucharangwa na vitu vyenye ncha kali

    Mwanakwaya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Buhangija, Manispaa ya Shinyanga, Agatha Nyahuma (32), mkazi wa Bugayambelele, Kata ya Kizumbi, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana waliomtaka kwa vitu vyenye ncha kali katika maeneo ya mabega, mgongoni na mkono wa kulia. Kaimu...
  2. Waufukweni

    Mwanamke akutwa amefariki Gesti Sinza Mori akiwa na Majeraha ya vitu vyenye ncha kali

    Katika tukio la kushtua, mwanamke mmoja anayeitwa Aisha Athuman, ambaye alikuwa muhudumu katika nyumba ya kulala wageni ya Sesa, iliyoko Sinza Mori, Jijini Dar es Salaam, amepatikana akiwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa na majeraha ya kuchomwa na kisu. Mwenyekiti wa Sinza, Ally Mgaya...
  3. Suley2019

    Muuguzi KCMC auawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali uchochoroni

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Muuguzi wa hospitali ya KCMC Moshi Khudheifa Changa (26) Akitoa taarifaa hiyo kwa vyombo vya habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro ACP Simoni Maigwa amesema kuwa walio kamatwa ni...
  4. Idugunde

    Ukatili dhidi ya wanawake, Mwanamke auwawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali huko Mkoani mwanza

    Mtu huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 35 aliokotwa hapo, huku pembeni yake kukiwa na chupa yenye pombe. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo na kuthibitishwa na wenyeviti wa mitaa hiyo miwili huku chanzo cha mauaji hayo kikiwa bado hakijajulikana na upelelezi wa kubaini...
  5. D

    Usajili wa Sterling: Chelsea wameshapigwa na kitu kizito, chenye ncha kali

    Sterling wamepigwa changa, Jamaa hamna kitu mule. Yani unachukua mchezaji wa Bench kwenye timu unayotaka kushindana nayo halafu utegemee kushindana nayo.
  6. Mtu Asiyejulikana

    Tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali

    Hali ya Maisha inazidi kuwa ngumu. Why jamani, why? Kila siku watu wakiamka afadhali na jana. Serikali yetu kwa sasa haijielewi kabisa. Haieleweki kuna watu wanampotosha Rais. Kuna watu wanamshauri vibaya makusudi. Wanamshauri vibaya nchi ionekane imemshinda. Maisha haya hatukutegemea. Kila...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Uchawi wa kukatwa na vitu vyenye ncha kali bila kujeruhika

    Uchawi huu uko sana Kigoma, pia majambazi wengi huutumia
  8. Idugunde

    Mwanamke Mwingine auwawa Arusha. Akutwa amepigwa kitu chenye ncha kali.

    Mwanamke Mmoja mkazi wa Njiro mkoani Arusha amekutwa amefariki baada ya kupigwa na kitu chenye ncha kali. Alikiwa akifahamika kwa jina Jenerose Dewasi. unfurl="true"]Mwanamke mwingine akutwa amekufa Arusha[/URL]
  9. Miss Zomboko

    Manyara: Mama amchoma Mtoto na kitu chenye ncha kali kwa kumwomba mpita njia hela

    Jeshi la Polisi mkoani Manyara linamshikilia mwanamke Janeth Doto Vicent mkazi wa mji wa Babati kwa tuhuma za kumchoma Mtoto wake wa kike sehemu mbalimbali za mwili kwa kutumia kitu chenye ncha kali. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Manyara Marrison Mwakyoma...
Back
Top Bottom