Uwajibikaji ni neno pana hasa pale unapoangalia upande wa utendaji wake Kwa haki madhubuti kwani serikali italaumiwa hasa pale itakapokuwa na mfumo mbovu wa utawala Kwa wananchi wake, mfano; ajira Kwa vijana hutangazwa nafasi zile za kawaida sector ndogo ndogo lakini sector kubwa kama Uchukuzi...