Katika ulimwengu wetu uliojaa maajabu, kila nchi ina kitu ambacho inaongoza au inajulikana nacho duniani. Wakati mwingine, ni jambo la kufurahisha, la kushangaza, au hata la kusikitisha. Katika uzi huu tutagusia kiufupi sifa ya kila nchi kama ifuatavyo;
Afghanistan hadi Angola
Afghanistan...
Kama mada inavyosema ni kwamba wazungu hawafanani kitabia, nadhani
diaspora ndio watatupa uzoefu zaidi. Tuchambue tabia za Waingereza, Wajerumani
Wafaransa, Waitaliano, Warusi na kadhalika. Je ni sifa, tabia na hulka zipi walizo nazo?
Kwa mfano Waingereza wanasifika kwa ubahili, Wafaransa...
Mkutano wa nchi za BRICS ulifanyika mjini Kazan, Russia wili iliyopita ikiwa ni mara ya kwanza kwa kundi hilo kukutana kwa jina la BRICS Plus, ikiwa na maana kuwa uanachama wa kundi hilo umepanuka kutoka wanachama watano wa awali (Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini) hadi wanachama...
Mashindano ya Olympics yana michezo mingi sana na mingine ni nadra sana kwa mwanamichezo kutengeneza kipato nje ya mashindano yale. Umewahi kujiuliza wanamichezo wanaoshiriki michezo ya Olympics wanafaidikaje ukiacha nafasi ya kushinda medali?
Ngoja nikuwekee mkeka wa mifano ya nchi kadhaa...
Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe
Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo.
Nawatakiwa Asubuhi Njema
bongo
bongo fleva
diamond
diamond platinumz
kabla
kifo
kutoka
mashuhuri
mkubwa
msanii
mtumishi wa mungu
mungu
mwaka
mwanamuziki
nchimbalimbali
nyota
tanzania
wachungaji
wawili
Habarini wanajamvi,
Ninapenda kujua, Ili kuwa miongoni mwa artists wanaoudhuria maonyesho ya arts mataifa mbali mbali Ili ukidhi vigezo unafuata hatua gani?
Tufikirie nje ya box nipe nikupe ni kamchezo kazuri sana, huyo sponsor wa COP28 ana mambo yake nyeti kwenye nchi mbalimbali hivyo idadi kubwa ya uwakilishi kutoka kwenye baadhi ya Nchi ni kielelezo Cha umuhimu wa nchi hizo katika rasilimali pendwa.
Unapoliwa pakubwa na ushiriki wako wa...
Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidgo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya masaa 48 ya kazi Tunapatikana Dar es salaam
kwa Mawasiliano zaid Call or Whatssap {0719415519}
List...
"Toa Elimu Badala ya kutukana!"
Ndugu Godbless Lema ambae ni Muishiwa Mbunge wa Arusha zamani. (sio mheshimiwa)maana hana huo ubunge kwa sasa. Anaendelea kuzunguka nchini akitukana makundi mbalimbali ya kijamii hususan Bodaboda! Kama kawaida yake. Na sasa ameirudia tena kauli yake safari hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.