nchi mbalimbali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zifuatazo ni sifa za kipekee za nchi mbalimbali duniani, nchi yako inasifika kwa kitu gani? (Usitaje amani maana hauna hati miliki)

    Katika ulimwengu wetu uliojaa maajabu, kila nchi ina kitu ambacho inaongoza au inajulikana nacho duniani. Wakati mwingine, ni jambo la kufurahisha, la kushangaza, au hata la kusikitisha. Katika uzi huu tutagusia kiufupi sifa ya kila nchi kama ifuatavyo; Afghanistan hadi Angola Afghanistan...
  2. M

    Tuchambue Wazungu wa nchi mbalimbali kwa sifa na tabia zao.

    Kama mada inavyosema ni kwamba wazungu hawafanani kitabia, nadhani diaspora ndio watatupa uzoefu zaidi. Tuchambue tabia za Waingereza, Wajerumani Wafaransa, Waitaliano, Warusi na kadhalika. Je ni sifa, tabia na hulka zipi walizo nazo? Kwa mfano Waingereza wanasifika kwa ubahili, Wafaransa...
  3. L

    Mkutano wa BRICS waonesha mtazamo wa nchi mbalimbali duniani kutopenda uhasama

    Mkutano wa nchi za BRICS ulifanyika mjini Kazan, Russia wili iliyopita ikiwa ni mara ya kwanza kwa kundi hilo kukutana kwa jina la BRICS Plus, ikiwa na maana kuwa uanachama wa kundi hilo umepanuka kutoka wanachama watano wa awali (Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini) hadi wanachama...
  4. Maokoto ya wanamichezo wa nchi mbalimbali wanaoshinda medali za Olympics

    Mashindano ya Olympics yana michezo mingi sana na mingine ni nadra sana kwa mwanamichezo kutengeneza kipato nje ya mashindano yale. Umewahi kujiuliza wanamichezo wanaoshiriki michezo ya Olympics wanafaidikaje ukiacha nafasi ya kushinda medali? Ngoja nikuwekee mkeka wa mifano ya nchi kadhaa...
  5. Takwimu za talaka nchi mbalimbali

    🇮🇳India: 1% 🇻🇳Vietnam: 7% 🇹🇯Tajikistan: 10% 🇮🇷Iran: 14% 🇲🇽Mexico: 17% 🇪🇬Egypt: 17% 🇿🇦South Africa: 17% 🇧🇷Brazil: 21% 🇹🇷Turkey: 25% 🇨🇴Colombia: 30% 🇵🇱Poland: 33% 🇯🇵Japan: 35% 🇩🇪Germany: 38% 🇬🇧United Kingdom: 41% 🇳🇿New Zealand: 41% 🇦🇺Australia: 43% 🇨🇳China: 44% 🇺🇸United States: 45% 🇰🇷South Korea...
  6. Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  7. M

    Ili kuhudhuria Art Exhibitions kwenye nchi zingine unapaswa kufanya nini?

    Habarini wanajamvi, Ninapenda kujua, Ili kuwa miongoni mwa artists wanaoudhuria maonyesho ya arts mataifa mbali mbali Ili ukidhi vigezo unafuata hatua gani?
  8. Sponsor wa Mkutano wa COP28 lengo lake ni kutengeneza machawa wengi kwenye nchi mbalimbali

    Tufikirie nje ya box nipe nikupe ni kamchezo kazuri sana, huyo sponsor wa COP28 ana mambo yake nyeti kwenye nchi mbalimbali hivyo idadi kubwa ya uwakilishi kutoka kwenye baadhi ya Nchi ni kielelezo Cha umuhimu wa nchi hizo katika rasilimali pendwa. Unapoliwa pakubwa na ushiriki wako wa...
  9. Car4Sale Tunauza magari kwa cash na mkopo pia tunaagiza magari nchi mbalimbali

    Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidgo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya masaa 48 ya kazi Tunapatikana Dar es salaam kwa Mawasiliano zaid Call or Whatssap {0719415519} List...
  10. Mazingira ya wavuvi wadogo wadogo wa nchi mbalimbali Duniani

    "Toa Elimu Badala ya kutukana!" Ndugu Godbless Lema ambae ni Muishiwa Mbunge wa Arusha zamani. (sio mheshimiwa)maana hana huo ubunge kwa sasa. Anaendelea kuzunguka nchini akitukana makundi mbalimbali ya kijamii hususan Bodaboda! Kama kawaida yake. Na sasa ameirudia tena kauli yake safari hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…