nchi tajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ninahuzunika sana tanzania yangu ni nchi tajiri lakini viongozi wa ccm bado wanahubiri sisi ni masikini lengo ni kutupumbaza

    Ni wakati wa kuwakataa viongozi wa ccm kwa miaka 63 ya uhuru watanzania wametufanya kuwa wajinga huku wao na familia zao wakiishi maisha mazuri na yenye amani. Viongozi wa ccm wamefikia hatua ya kuona bila kupigiwa kura wanaamini watakuwa viongozi Tanzania ina madini lukuki maziwa na mito lakini...
  2. Msumbiji itakuwa miongoni mwa nchi tajiri duniani miaka 30 ijayo

    Katika nchi ambazo Mungu ameweka rasilimali nyingi ardhini ni pamoja na Msumbiji, Kongo, Zimbabwe, Zambia, Angola na Tanzania. Lakini hizo nchi tajwa zina watu wenye maisha magumu mno. Kinachohitajika ni akili mpya, mtazamo mpya, watu wapya na hari mpya. Nchi ya Marekani ilipata hari mpya...
  3. Leo tuangalie nchi tajiri kutoka katika kila bara

    Hapa ni orodha ya nchi 20 zilizotajiriwa zaidi katika bara la Asia kutokana na Pato la Taifa la Jumla (GDP) kwa mwaka 2023: 1. China - GDP: $14.72 trillion 2. Japan - GDP: $5.11 trillion 3. India - GDP: $3.18 trillion 4. South Korea - GDP: $1.66 trillion 5. Saudi Arabia - GDP: $833.56 billion...
  4. Tanganyika ni nchi inayotumikishwa kwa kivuli cha Tanzania?

    Hivi nani mmiliki wa Tanzania? Watanganyika hawaitaki, kadhalika na Wazanzibar. Ikiwa wote hao hawaridhishwi na wala kunufaishwa na uwepo wa Tanzania, ni nani hasa mnufaika wake? Ni kama vile Tanzania ni chombo kilichoundwa kwa lengo la kuinyonya Tanganyika na Watanganyika. Kwa nini nisiamini...
  5. Tunisia nchi tajiri Afrika, hairuhusu hijab, kwanini?

    Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu...
  6. B

    Kama unataka utajiri kwa nchi maskini, ingia kwenye siasa; Kama unataka kuwa mwanasiasa kwa nchi tajiri, kuwa tajiri kwanza

    Ukweli mchungu sana kwamba katika nchi za kishenzi ili uwe tajiri, basi uingie kwenye siasa. Lakini katika nchi zinazojielewa kama Marekani na nchi za Ulaya, ili uwe kiongozi wa kisiasa lazima uwe vizuri kiuchumi, yaani ni lazima uwe tajiri. Hii hali huwa na athari mbaya kwa nchi zetu kwa...
  7. Marekani inanufaikaje na misaada inayoipatia nchi maskini?

    Marekani ni nchi tajiri, hiyo inafahamika! Pamoja na hayo, bado kuna raia wake wasiokuwa na makazi wala chakula, ambao wanaishi kwa kuomba omba. Lakini ndiyo nchi inayoongoza dunianai kwa kutoa misaada. Nini sababu ya Marekani kuzisaidia nchi zingine wakati kuna raia wake wanaohitaji...
  8. Gabon ni Nchi tajiri kwa rasimali, ni Nchi ya tano kwa wingi wa mafuta Afrika

    Ameandika John heche, Afrika ina viongozi wengi wajinga mno. Na matokeo ya ujinga huo unaambukizwa mpaka kwa Wananchi. Gabon ni Nchi yenye kilometa za mraba 267,667 ina idadi ya watu milioni 2,349,000. Yaani hata mkoa wa Kagera una watu wengi kuliko wao. Gabon ni Nchi tajiri kwa rasimali ni...
  9. R

    Wananchi masikini ndani ya Nchi tajiri. Hata kama CCM itakufa sitokuja isahau

    Habari JF, Binafsi sitachoka kuinyooshea kidole CCM kwa matatizo na maendeleo duni ya Taifa hili mbali na Tanzania kujaliwa maliasili nyingi sana. CCM imetuaminisha kwamba hatuwezi fanya maendeleo bila Misaada ,mikopo na kujipendekeza nje ya Nchi. CCM imefanya wananchi masikini kiasi kwamba...
  10. ‘Shark loans’ namna taasisi za fedha za nchi tajiri wanavyowalewesha mikopo nchi maskini na kuweka mazingira ya kufubaza uchumi

    Biashara ya kutoa mikopo ni biashara kama biashara nyingine. Unavyouza mikopo Zaidi ndivyo unavyopata faida Zaidi. Kwa nchi zilizoendelea kama Marekani, mataifa ya Ulaya, Japan, na hata China, hizi ni nchi ambazo zimefanikiwa kuwa na efficiency kubwa sana kwenye mabenki, na pia benki kuu katika...
  11. SoC02 Chuki, ubinafsi na unafiki, ndio vinachelewesha maendeleo ya nchi yetu

    Utangulizi:nchi yetu ina utajiri mkubwa wa rasilimali lakini ina umaskini wa maendeleo, watu wengi wanajiuliza swali kwa nini? Sababu zipo nyingi ila tatizo kubwa ni fikra na mitazamo ya kimaskini iliyopo kwa wananchi walio wengi inayosababisha vitu hivi (chuki,ubinafsi na unafiki) ambavyo...
  12. Marekani nchi tajiri ,lakini sensa yao inasema kuna masikini milioni 48!

    Marekani ni nchi tajiri na yenye maguvu. Lakini sensa yao iliyoendeshwa na Idara ya Cencus Bureu(kama sensa yetu) imeonyesha kuwa hii nchi ya watu karibia milioni 330, ina watu masikini kabisa kufikia milioni 48. Na kwa Marekani ukiwa masikini basi heri ya Tanzania. Masikini wa Marekani...
  13. M

    SoC02 Wosia wa "kitabu mtatuzi wa matatizo" ndani ya nchi tajiri yenye watu masikini

    Jina langu nililopewa na walimwengu najulikana kama KITABU MFUMBUZI WA MATATIZO.Nimezaliwa DUNIANI kote kwa mwaka usiokuwa na jina toka Enzi katika kila Pembe ya Dunia, Ninaishi TANZANIA, Nchi TAJIRI yenye watu MASIKINI ndani yake.Nimevumilia nimeshindwa nimeona Bora niseme TANZANIA ina watu...
  14. T

    SoC02 Mikakati ya vita katika kuzinemesha nchi tajiri kwa kuzinyonya nchi changa, (Vita na Uchumi)

    Kadri ninavyozidi kupitia baadhi ya maandiko ya kale, masimulizi na ninayoyashuudia. Hizi ni baadhi ya sababu zinazofanya kuwepo wa vita:- Wivu juu ya mtu au taifa moja kwa taifa lingine, Wivu huu unaweza kuchagizwa na ukuaji wa uchumi ambapo taifa moja likiona taifa jirani linakuwa kwa kasi...
  15. Libya bado ni nchi tajiri, tuache propaganda ( hizo hapo ni latest statistics)

  16. UNICEF: Nchi tajiri zatoa chanjo zinazokaribia kumaliza muda wake

    Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO limesema kasi ya maambukizi ya virusi vya corona aina ya omicron inaanza kupungua barani Afrika, baada ya wiki kadhaa za kusambaa kwa haraka. Mhudumu wa Afya akiandaa dozi ya chanjo ya Covid-19 Mkurugenzi wa shirika hilo anayehusika na hali ya dharura kiafya...
  17. I

    Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

    Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni , Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa...
  18. L

    Athari za mabadiliko ya tabianchi kamwe hazitaisha kama dunia haikuchukua hatua kwa pamoja

    Na Pili Mwinyi Ukame, mafuriko, moto wa msituni, ukosefu wa chakula, kutoka nchi zenye mapato madogo hadi zenye mapato makubwa duniani, athari za mabadiliko ya tabianchi zimekuwa zikishuhudiwa kila siku katika sayari hii. Kati ya mwaka 1998 na 2017, hasara iliyotokana na hali mbaya sana ya...
  19. W

    Kwanini nchi za Afrika ikiwemo Tanzania bado maskini licha ya kupokea Misaada na Mikopo ya mamilioni ya Fedha kutoka nchi zilizoendelea? - Part I

    Niliuliza hili swali kupata maoni, sio hapa tu ni kwenye majukwaa mbalimbali, Asante kwa wote waliotoa maoni yao. Lakini kwa ufupi misaada na Mikopo kihistoria vilianza miaka ya 1945 na ilikuwa baada ya vita kuu ya pili ya dunia kwa malengo mawili; i) Kujenga miundombinu iliyoharibiwa wakati...
  20. #COVID19 Nchi tajiri zakosolewa vikali kwa kutoa chanjo za ziada wakati hali ikiwa mbaya Afrika

    Mkurugenzi wa shirika la afya Duniani kanda ya Afrika amezikosoa vikali nchi tajiri kwa kutoa chanjo ya tatu kwa watu ambao tayari wameshapatiwa chanjo hizo dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona. Mkurugenzi huyo Matshidiso Moeti amewaambia waandishi habari kwamba uamuzi wa nchi hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…