nchi yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania nchi yangu, nakupenda kwa moyo wangu wote

    Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kisa kinene ,yapo mengi hatuyajui yapo mengi tunahaso tuyajue Elimu haina mwisho,Tuendelee kijifunza tupo kwenye nchi ya Dunia ya tatu ipo nyuma Kwa mambo mengi tu yaani, Siasa,uchumi,na maendeleo ya mtu mmoja mmoja ,ni nchi ambayo mtu akimikiki Jiko la...
  2. Inabidi tuwatambue na tuwape umuhimu watu wetu muhimu

    Habari wakuu Kwenye historia kwenye vitabu tumewasoma watu mashughuri, wagunduzi wa vitu mbali mbali lakini cha ajabu kuna watu wa muhimu sana hatu wapi umuhimu uliopaswa kupewa Just imagine kuna mtu aligundua wali nazi, chapati mbili na supu, ugali dagaa vitu ambavyo ulaya/Uingereza havipo...
  3. Tofauti ya siasa na wanasiasa katika nchi yangu na mataifa mengine

    Jambo wana Jamii Forums, Natarajia mu wote mko poa sana. Leo ningependa kujadili kidogo kuhusu historia ya siasa ya Tanzania. Siasa ya Tanzania imeshuhudia mabadiliko mengi tangu nchi ipate uhuru mwaka 1961. Tumeshuhudia utawala wa chama kimoja (CCM) kwa muda mrefu, na pia mabadiliko ya vyama...
  4. Prince wa Saudi Arabia Salman: Mambo ya Palestine hayanihusu. Najihusisha zaidi ya Nchi yangu

    Prince wa Salman wa Saudi Arabia amesema kuwa hataki kujihusisha na mgogoro wa Palestine. Ana nchi yake na anapaswa aangalie mambo yanayohusu nchi yake. ========== Saudi Arabia's Crown Prince Mohammed bin Salman told US Secretary of State Antony Blinken that he does not personally care about...
  5. Mwanasiasa: Nchi hii hakuna maendeleo bila CCM kuamua

    Tanzania nchi yangu
  6. NCHI YANGU TANZANIA

    Kama taifa tunaelekea....!!!! Kila kitu ni hovyo tu...ukisikiliza maneno yao unasema yes! Watu ndio hawa, ili ukweli ni hovyo hovyo
  7. Mimi nikiwa Mtanzania tena mzazi mwenye uchungu na matukio ya utekaji, hii inanifanya niichukie nchi yangu. Njii ipi nzuri ya kutatua ili tatizo?

    🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu. Kiukweli kunahaja wananchi...
  8. Nimeota ndoto isiyopendeza kwa nchi yangu

    Ndoto nimeiota siku tatu zilizopita. Namaanisha tarehe 16 Agosti 2024. Mazingira ya jijj, sijajua ni jiji gani Tukio la shambulizi la kigaidi Raia wanasaidiana na vyombo vya ulinzi na usalama kupambana Ndoto imejirudia mara 3 ktk usiku mmoja. Yaani nazinduka usingizini, nikirejea kulala ndoto...
  9. Eti hii ndiyo nchi yangu? 😔

    Daah! Hii nchi hiii. Kuna muda nakaa naisikitikia hii nchi kwa namna inavyoendeshwa, Kumbe nchi nayo inanisikitikia jinsi ninavyoishi maisha ya kimaskini na utajiri upo. Si ajabu atakuja Rais kama JPM lakini watu hawatamwelewa mpaka umauti utakapomkuta. Kwanini watu wa nchii hii vitu vizuri...
  10. Tanzania nchi yangu inafurahisha sana!

    Wakuu Heshima mbele. Binafsi kuna kitu kinanishangaza sana. Tanzania ni nchi ambayo raia wanaongoza kwa malalamiko dhidi ya serikali. Si serikali ya raisi yoyote ile iliyowahi kuwepo madarakani watanzania wasilalamike. Lakini ukifika kwenye uzi kama wa battle Dar es salaam Vs Nairobi ni watu...
  11. SoC04 Tanzania nchi yangu

    Utangulizi: Tanzania ni nchi ambayo imepewa zawadi ya kipekee na Mwenyezi Mungu katika bara la Afrika kwa kubarikiwa kuwa na sehemu nyingi zenye vivutio na rasilimali ambazo zikitumika vizuri zitaongeza Pato la Taifa. Nchi hii imekuwa maarufu duniani kutokana na Mlima mrefu barani Afrika...
  12. SoC04 Ninaifanyia nini nchi yangu?

    "Ask not what your country can do for you,but what you can do for your country " yaani "Usiulize nchi yako inaweza kukufanyia nini,ila jiulize wewe unaweza kuifanyia nini nchi yako" Hiko ni kifungu cha maneno maarufu ambacho kilitamkwa katika hotuba ya John F. Kennedy, kipindi akiapishwa kuwa...
  13. D

    Nakulilia Congo nchi yangu

    Congo is the promised land. Congo is the land filled with honey. Congo is the land filled with Natural resources. Congo is the Richest land on the planet. Congo is the land filled with Mineral resources. You can pick up any mineral from the soil in Congo. Congo has the capacity to supply the...
  14. Kinachoendelea Kigoma kuibua wachawi ni udhalilishaji, upuuzi na uchonganishi

    Narudia tena ni Udhalilishaji, Upuuzi, Ushenzi, Uchonganishi na Utapeli. Nimefika mkoa wa Kigoma Tokea Majuzi nilicho Kikuta huku Sielewi Huku ninchi Nyingine au ni Tanzania hii hii ! Kuna kitu kinaitwa  KAMCHAPE, hawa wapuuzi nani kawaleta, Hili kweli nani kalipa Baraka kufanyika karibu mkoa...
  15. Sitafanya utetezi wa mkataba mbovu kwa nchi yangu kisa mimi ni Muislam

    TUENDELEE KUJADILI MAPUNGUFU YA MKATABA. Baina ya Tanzania na Dubai wa uwekezaji wa Kampuni ya DPW katika bandari zetu zote. Tusitolewe kwenye mstari na kukubali Kujadili Udini. Naomba nitumie muda huu kuwakumbusha Watanzania na watu wengine Duniani kuwa ni jukumu la Muislam kujenga...
  16. Nchi yangu Tanzania na wasomi wake wapi tunatamani kufika?

    Mungu ibariki nchi hii na watu wake, Mungu mbariki mmiliki wa mtandao huu na timu nzima ya kazi inayofanywa hapa ili sisi tupate sehemu ya kutolea dukuduku zetu. Ndugu zangu Kwa heshima na taadhima nipo mbele yenu nami kule kero yangu hapa kwa viongozi na wataalamu wetu tuliowapa nafasi...
  17. Tutakwama sana kwa elimu hii, naihurumia nchi yangu

    Ni Juzi TAMISEMI imetoa mkeka wa wanafunzi wanaojiunga kidato cha Tano!! Niajabu kama taifa hatushtushwi na idadi ndooogo ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya A level!! Taifa la watu milioni 61 na wengi ni vijana kuona wanafunzi takribani 188,000 tuu ndiyo waliochaguliwa kidato cha Tano na vyuo...
  18. SoC03 Naipenda siku ya uhuru wa taifa langu

    Habari ndugu msomaji karibu katika makala hii Hii ni hadithi iliyokuwa nzuri na ya kusisimua ambayo mzee mwangosi alitushrikisha siku moja tukiwa kundi la vijana watano katika kijiwe cha kahawa ambaye alikuwa mzee mwenye umri wa miaka 89, mzee mwangosi alikuwa akizingumzia namna alivyoshiriki...
  19. SoC03 Uhai wa kilimo na mifugo yangu katika nchi yangu

    Uhai wa kilimo na mifugo yangu katika nchi yangu Utangulizi Tunapozungumzia kilimo na mifugo katika nchi yetu ya Tanzania tunagusa Nyanja ambazo kwa muda mwingi zimebaki kuwa mihimili ya vyanzo vya mapato kwa jamii nying sana za kitanzani shughuli hizi mbili daima zimekuwa na mchango mkubwa...
  20. SoC03 Nikufanyie nini ee nchi yangu kipenzi?

    Habari za wakati huu ndugu Kulikuwa na kijana mdogo aliyeitwa kaswahili, mzaliwa wa kijiji kidogo kutokea katika nchi ya Tanzania, kijana huyu alitamani sana kuiona Tanzania ikiwa nchi bora Zaidi kwa kila mtu kwani kaswahili alichoshwa sana na malalmiko ya wazazi wake pamoja na wazee wa pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…