Wakuu.
Taifa la Uganda linaloongozwa na Yoweri Museveni rasmi sasa limejiunga rasmi na BRICS kama moja ya nchi mshirika hivyo kuifanya Uganda kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki kujiunga na Jumuiya hiyo
Kufuatia uamuzi huo, Uganda sasa inajiunga na Belarus, Bolivia, Cuba, Indonesia...