nchi za magharibi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Serikali mpya ya Syria inajipanga kurejesha mahusiano na nchi za magharibi huku ikiipa Iran mkono wa kwaheri

    Ufaransa yarejesha bendera katika ubalozi wa Damascus huku mamlaka mpya ya Syria ikijenga mawasiliano na nchi za Magharibi. Ufaransa ilipandisha bendera yake katika ubalozi wake wa Damascus siku ya Jumanne kwa mara ya kwanza baada ya miaka 12 na maafisa wa Umoja wa Ulaya walijitayarisha...
  2. Eli Cohen

    Tofauti na Iran na vibaraka wake, tishio kubwa katika nchi za magharibi ni mrengwa wa kushoto (liberals, far lefts and woke culture)

    Wanatengeneza kansa katika jamii zao kwa ajili tu ya kuwafurahisha wahamiaji holela, LGBTQ, Feminists, Anti-Christs, #freepalestine (utapeli) , etc Kama ilivyo sera yao ya uhuru na Hatua za bila mipaka itapelekea msingi wa familia kuharibika, jeshi kuwa dhaifu kutokana na influence ya upinde...
  3. X

    Kiteknolojia China iko sawa na nchi za Marekani na Ulaya

    "Kusema ukweli, ni kwamba watu ambao hawaendi China mara nyingi hufikiria kuwa wako nyuma, lakini unapoenda huko unavutiwa na wanachofanya katika teknolojia." –Brad Smith (Raisi wa Microsoft) Nchi za Magharibi hazipaswi kudhani kuwa China iko nyuma ya Marekani na Ulaya kwenye maendeleo ya...
  4. L

    Nchi za magharibi zaendelea kuchochea msukosuko wa madeni, licha ya ushahidi wote kuonyesha wao ni chanzo kikuu cha msukosuko huo

    Hivi karibuni kiongozi wa Kanisa la Katoliki Papa Francis alihutubia mkutano wa Vatican kuhusu Msukosuko wa Madeni katika eneo la Kusini mwa Dunia", kwenye hotuba yake Papa alikemea vikali changamoto zinazotokana na msukosuko huo, hasa kusababisha taabu na dhiki, na kuwanyima mamilioni ya watu...
  5. L

    China na Afrika ni washirika wanaohitajiana na sio wa kunyonyana kama zilivyofanya nchi za magharibi

    China na nchi za Afrika zinaendelea kufurahia ushirikiano na urafiki wao wa kudumu ambao uliwekewa jiwe la msingi na mwasisi wa China Mwenyekiti Mao Zedong na viongozi wengine waasisi wa Afrika. Katika kipindi chote cha zaidi ya miongo sita China na Afrika siku zote zimekuwa zikiheshimiana...
  6. Kinyungu

    Jinsi nchi za Magharibi zinavyohujumu miradi inayofanywa na Wachina barani Afrika

    Mradi wa ujenzi wa Bandari kubwa ya Bagamoyo ilikuwa uwe moja ya flagship kubwa sana ya Belt and Road ya Wachina hapa Africa. Lakini kwa sababu amabzo hazieleweki hadi leo bandari haikujengwa ingawa serikali ilishaingia harasa kullipa watu fidia. Kwenye video fupi hapa chini jamaa anaelezea...
  7. Eli Cohen

    Hivi ndivyo Magharibi itavyopotea. Sio pigo la risasi wala nyuklia, bali ni hivi vifuatavyo

    Feminism: Uzaaji wa watoto wachache: Sera ya uhamiaji holela: Kuruhusu, kupokea na kuzifanyia kazi ideologies za jamii nyingine angali jamii hizo zinapinga ideologies za west: Ideology ya Mrengo wa Kushoto:
  8. Lord denning

    Huu ndo Ushahidi wa Nchi za Magharibi zinavyotusaidia. Anayewatukana na kuwasimanga muonee huruma sana!

    Kwa kifupi Nchi za Magharibi zinatusaidia kuanzia miradi ya Afya ikiwemo kupambana na magonjwa kama Ukimwi, Kifua kikuu, utapia mlo na mingine mingi. Zinatusaidia Kuokoa uhai wa Mama wajawazito na watoto kwa kutoa fedha nyingi sana tunazotumia kuboresha hospitali zetu! Nchi hizi zinatusaidia...
  9. Lycaon pictus

    Nchi za magharibi haziamini tena juu ya Free Market?

    Ni rahisi sana kuhubiri kuhusu free market (Biashara Huria) iwapo upo kwenye advantage. Lakini ukiwa unajitafuta biashara huria ni ugonjwa mbaya sana. Nchi za magharibi zimehubiri sana kuhusu biashara huria. Watu wafanye biashara na bidhaa zizunguke duniani bila vikwazo. Ikafika hadi nchi...
  10. Yoyo Zhou

    Nchi za Magharibi zapotosha ukweli wa ushirikiano wa China na Afrika katika sekta ya maliasili

    Bibi Jacquie anaishi katika kijiji cha Mayeba kilichoko misituni kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ingawa kijiji hicho kiko karibu na migodi maarufu ya KFM na TFM, ambayo ina madini ya Shaba na Cobalti yenye thamani kubwa, lakini wanakijiji walikuwa wanaishi maisha magumu...
  11. L

    Hoja ya “China inamwaga pesa kwa Afrika” yanaonesha wivu wa nchi za magharibi

    Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika ulimalizika mjini Beijing wiki iliyopita, ambapo wakuu zaidi ya 50 wa nchi au serikali za Afrika walihudhuria mkutano huo, na kuonyesha kuwa nchi za Afrika zinaupa umuhimu mkubwa mkutano huo na matarajio makubwa ya kuendeleza...
  12. X

    Special thread: Mgogoro kati ya Urusi na NATO

    Uzi huu unaangazia kile kinachoendelea kuhusu mgogoro ulioibuka sasa wa NATO na Russia katika vita vya Ukraine. Ikumbukwe kuwa katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg, alitaka silaha za misaada kwa Ukraine sasa zianze kutumika kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Russia hasa miltary...
  13. S

    Mafanikio ya Mataifa ya China, Urusi na Iran ndio chanzo cha mivutano ya kisiasa baina ya nchi za Magharibi

    Hivi karibuni tumeshuhudia kiasi kikubwa cha fedha kutoka taifa la kubwa la marekani kuzisaidia nchi za Ukraine, Israel na Taiwan, lakini kwa kuangalia kwa jicho lingine ni kama ili kudili vizuri na na hawa new rising power wanatengenezewa kwa makusudi migogoro ya kisiasa na nchi ambazo ni...
  14. Mr Chromium

    Kagame nafsi yamsuta kwa anachokifanya Congo! Awatupia mpira nchi za Magharibi na Mashariki ya Kati

    Kufuatia Tuhuma za Genocide nchini DRC kwa ajili ya kuiba madini Sasa KAGAME akili wazi kua madini yanapitia kwake nchini Rwanda yakiibiwa. Sikiliza hapa.
  15. L

    Uhusiano kati ya China na Afrika waonesha dosari zilizopo kwenye uhusiano kati ya Afrika na nchi za magharibi

    Uhusiano wa karibu kati ya China na nchi za Afrika, ambao umekuwa wa kina zaidi baada ya China kuwa na maendeleo makubwa kiuchumi, umekuwa unafuatiliwa kwa karibu na nchi za magharibi, na katika baadhi ya nyakati umekuwa ukipakwa matope kwa kila njia bila mafanikio, kujaribu kuleta migongano...
  16. Yoyo Zhou

    Kwanini watalii wa China wameacha kutalii nchi za Magharibi?

    Hivi karibuni, Shirika la habari la Marekani Bloomberg lilitoa ripoti yenye kichwa kinachosema “China imesababisha hasara ya dola bilioni 130 za Kimarekani kwa sekta ya utalii duniani.” Ripoti hiyo inadai kuwa, ikiwa kundi kubwa zaidi la watalii duniani, watalii wa China sasa hawaonekani tena...
  17. L

    Nchi za magharibi kuilenga na kutaka kudhoofisha BRI kuna lengo la kuendelea kuzidunisha nchi za dunia ya tatu

    Wakati pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” (BRI) la China linatimiza miaka 10 tangu kutolewa, kuna mafanikio mengi yameonekana katika kuhimiza urafiki na ushirikiano kati ya China na nchi zinazoshiriki kwenye pendekezo hilo, na hasa kuleta maendeleo kwa nchi zilizopokea miradi chini ya...
  18. L

    China inaheshimu haki za kujitafutia maendeleo za nchi zote zikiwemo zile zinazolengwa na nchi za magharibi

    Kuwekwa vikwazo vya upande mmoja (unilateral sanctions), na kutumia majukwaa ya kimataifa kuweka vikwazo hivyo kumekuwa ni moja ya njia zinazotumiwa na baadhi ya nchi za magharibi, kuzibana nchi nyingine na viongozi wake, pale zinapoona kuwa nchi hizo hazifuati matakwa yao. Bahati mbaya ni kuwa...
  19. L

    Umwamba wa nchi za Magharibi wazuia nchi za Afrika kushiriki kwa haki kwenye upunguzaji wa utoaji wa kaboni

    Tangu mwaka huu uanze, dunia nzima imeshuhudia majanga mbalimbali yaliyosababishwa na hali mbaya ya hewa, na mabadiliko ya tabianchi yamekuwa msukosuko wa kweli. Ikilinganishwa na sehemu nyingine duniani, utoaji wa kaboni barani Afrika siku zote ni wa kiwango cha chini zaidi duniani, na jumla ya...
Back
Top Bottom