nchi za magharibi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Mkoa wa Xinjiang waendelea kupata maendeleo makubwa licha ya ukosoaji mkubwa wa mara kwa mara wa nchi za magharibi

    Katika siku za hivi karibuni baadhi ya nchi za magharibi zimekuwa zikitumia majukwaa ya siasa za kimataifa, kutoa kauli na maazimio yanayoikosoa China kuhusu Xinjiang. Ukosoaji huo umekuwa ukitumia maneno yaleyale licha ya kuwa wanaotoa maneno hayo wanatambua kuwa hayana mantiki na yanaendelea...
  2. L

    Jaribio la nchi za magharibi kuharibu uhusiano kati ya nchi za BRICS litashindikana

    Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS utafanyika kuanzia Agosti 22 hadi 24 mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Hii sio tu itakuwa shughuli kubwa kwa nchi za BRICS, bali pia itatoa fursa zaidi za maendeleo kwa nchi za Kusini duniani. Hata hivyo, nchi za magharibi na vyombo vya habari vimetoa...
  3. J

    Diaspora mliopata uraia wa nchi za magharibi acheni kuichafua Tanzania

    DIASPORA MLIOPATA URAIA WA NCHI ZA MAGHARIBI ACHENI KUICHAFUA TANZANIA Anaandika Chigaitan kutoka KIVU DRC. No, No, sisi sote ni Watanzania hatuna taifa jingine zaidi ya Tanzania, acheni kuichafua Tanzania. Tunapaswa kuilinda kwa nguvu zote Hadhi ya Tanzania dhidi ya wahaini wanao ichafua...
  4. L

    ‘Mtego wa madeni’ ni nyenzo ya propaganda inayotumika na jopo la washauri bingwa wa nchi za Magharibi

    Mwaka huu ni wa 10 tangu Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja lilipotolewa na rais wa China Xi Jinping. Katika miaka hii 10, ushirikiano kati ya China na nchi zilizo katika njia ya Ukanda Mmoja na Njia Moja zimefaidika kwa kiasi kikubwa. Mwenyekiti wa Taasisi ya Ukanda Mmoja na Njia Moja ya...
  5. Majina ya watoto wa nchi za Magharibi

    Naamini hili jukwaa lina watu wengi wanaofahamu tamaduni za watu wa Ulaya na Marekani. Inaonekana ni kawaida kwa baadhi ya watu wa Ulaya kuwapa watoto wao majina mawili kwa mkupuo, ambayo hayana uhusiano na jina lake (mzazi). Mfano, baba anaweza akawa anaitwa James Allen Robert, lakini mtoto...
  6. L

    Madai ya ‘nipe nikupe’ ya nchi za Magharibi kuhusu tathmini ya Micron yaonesha upendeleo

    Wataalamu nchini China wanasema ni jambo la kushangaza kuwa, China kutangaza kwamba chip ya kumbukumbu ya kampuni kubwa ya teknolojia ya Marekani, Micron, imeshindwa kufikia vigezo, kumeibua malalamiko kutoka kwa baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za Magharibi, na mtazamo wa “nipe nikupe”...
  7. Unafiki wa nchi za Magharibi na nchi nyingine dhidi ya watu wa Belgorod

    Dunia ipo kimya kwa watu wa Belgorod wanaopigania Uhuru wao dhidi ya serikali inayodhulumu haki zao. Ila haikukaa kimya wakati watu Cremia, Donesk etc walipotaka uhuru wao toka kwa Ukrein, walipewa kila misaada na ammunition ili wapate uhuru wao dhidi ya dhuluma waliyokuwa wanafanyiwa na...
  8. L

    Utafiti waonesha kuwa mikopo toka China kwa nchi za Afrika ina gharama za chini kuliko ile ya nchi za Magharibi

    Watafiti katika taasisi ya Uchumi wa Dunia ya Kiel ya Ujerumani, wamefanya utafiti na kufikia hitimisho kuwa mikopo inayotolewa na China kwa nchi za Afrika ni ya gharama nafuu kuliko ile inayotolewa na nchi za magharibi, au inayotolewa na wakopeshaji wa kibiashara. Hitimisho hilo limefikiwa...
  9. Kwanini nchi za Magharibi zinaisaidia Ukraine silaha bila kificho lakini huzishutumu nchi zingine zinazoisaidia Urusi?

    Kama kichwa cha thread kinavyoonesha, sishabikii vita ila inaonekana nchi za Magharibi na Marekani ni tishio sana kila anaemsaidia Urusi hufanya hivyo kisiri siri!. West hujiona wapo sahihi kwa Kila kitu na wanataka mtazamo/maadili yao uwe mtazamo wa dunia yote. Hivi dunia haiwezi kuwepo bila...
  10. Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka husika ili wachukue hatua. Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote USSR...
  11. L

    Vikwazo zaidi vilivyowekwa na nchi za Magharibi dhidi ya Russia vyaondoa uwezekano wa suluhisho la amani la mgogoro

    Wataalam wa China wamesema, hatua za karibuni za nchi za Magharibi za kuendelea kuitenga na kuongezea vikwazo Russia zinaondoa uwezekano wa mazungumzo ya amani, na badala yake, zitasababisha umwagaji damu zaidi katika mgogoro kati ya Russia na Ukraine. Wataalam hao wametoa kauli hiyo baada ya...
  12. Mkuu wa NATO: Kuacha Urusi ishinde Ukraine itakuwa hatari kwa dunia nzima, nchi za magharibi hawatakubali kitokee

    Katibu mkuu wa NATO amesema kuicha Urusi iishinde Ukraine ni hatari si kwa Ukraine tu bali kwa dunia nzima kitu ambacho NATO/magharibi haitakubali hilo litokee kamwe. ================== A Russian win in Ukraine would be 'dangerous for the whole world', says NATO chief as he accuses Putin of an...
  13. Rais Putin adai ataendeleza vita huko Ukraine

    Hotuba ya Putin kwenye bunge la nchi hiyo imetowa tathmini kwa viongozi wa kisiasa na kijeshi kuhusu vita vya Ukraine lakini pia tathmini ya hali ilivyo kimataifa pamoja na kutowa mwelekeo wa hali halisi ya nchi hiyo baada ya nchi za Magharibi kuiwekea vikwazo chungunzima. Hotuba hiyo ya Putin...
  14. Rais Putin azilaumu nchi za Magharibi kuhusu vita Ukraine

    Hotuba ya mwaka ya Putin yatowa mwelekeo wa Urusi kuhusu vita nchini Ukraine wakati rais wa Marekani Joe Biden akitarajiwa kuwahutubia washirika wake akiwa Poland baada ya kuitembelea Kiev Jumatatu. Hotuba ya Putin kwenye bunge la nchi hiyo imetowa tathmini kwa viongozi wa kisiasa na kijeshi...
  15. L

    China yaendelea kuhimiza ufuatiliaji wa nchi za Magharibi kwa Afrika

    Siku chache baada ya waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang kufanya ziara ya siku tano barani Afrika, Waziri wa mambo ya nje wa Fedha wa Marekani Bibi Yellen Jaret ameanza ziara yake ya siku 10 barani Afrika itakayomfikisha Senegal, Zambia na Afrika Kusini, akiwa na ujumbe kuwa Marekani...
  16. J

    Unaruhusuje Mitaala ya nchi za magharibi itumike nchini halafu unayakataa Maadili yao?

    Hali waliyofikia wazungu katika maswala ya Jinsia kiukweli inatisha. Kwa sasa Watoto wa kizungu wanafundishwa kujitambua kama "Mtu" na siyo kama Mvulana au Msichana Serikali lazima iachane na Mitaala ya Magharibi vinginevyo hakuna namna ya kuwaokoa Watoto wa Matajiri na Viongozi wanaosoma...
  17. T

    Nchi za Magharibi zimemtumia Putin barua ya onyo kwa mara ya kwanza

    Putin ktk mwezi wa Dec amerusha mabomu mengi kwa Ukraine mengine yame hit target while mengine Ukraine waliyadungua. Ila jambo Mrusi hakujuwa nchi za Magharibi walikuwa wakifanya ktk hali ya usiri mkubwa ni pale Nchi za Magharibi walikuwa waki monitor all movement za Mrusi kukusanya silaha na...
  18. L

    Nchi za Magharibi zapaswa kuacha mara moja uchochezi wa “kutengana na China”

    Shirikisho la Kuhimiza Biashara la China hivi karibuni limehoji zaidi ya makampuni 160 ya kigeni nchini China, na matokeo ya hojaji hiyo yameonyesha kuwa, asilimia 98.7 ya makampuni yana nia ya kudumisha na kupanua uwekezaji nchini China, na asilimia 10.2 yanapanga kuhamishia viwanda vyao nchini...
  19. Putin apiga marufuku ya uuzaji wa mafuta ya Urusi kwa Nchi za Magharibi

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesaini amri ambayo inaweka marufuku ya uuzaji wa mafuta na bidhaa za mafuta kwa mataifa yaliyoweka kikomo cha bei ya mafuta ya Urusi, kuanzia Februari 1, 2023 kwa kipindi cha miezi mitano. Kundi la G7 la Nchi tajiri Duniani, Umoja wa Ulaya na Australia...
  20. Naomba kujuzwa, Kwanini nchi za magharibi zinakomalia suala la kueneza ushoga ulimwenguni

    Je, nini kipo nyuma ya pazia, lengo na dhamira yao ni nini? Deep intelligence yao ni ipi? Juu ya suala hili ovu kabisa kuliko chochote kile hapa ulimwenguni. Wajuzi na waona mbali karibuni tuchambue ni kipi kipo nyuma ya pazia kwa wamagharibi hawa, and there deep secret may be hided over this...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…