Salaam
Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death toll kwenye ajari pekee inafika 50, hapo bado sijazungumzia pale songwe mlima mbalizi nasikia tena...
Mkutano wa 29 wa Umoja wa Mataifa wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (COP29) umefungwa hivi karibuni huko Baku, mji mkuu wa Azerbaijan, na nchi mbalimbali zimefikia makubaliano kwamba, nchi zilizoendelea zitatoa angalau dola bilioni 300 za Kimarekani kila mwaka hadi mwaka 2035, ili...
Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k
Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja...
Huwa najiuliza sana hili swali lakini sipati picha majibu kabisa..
Mfumo wa utawala, sheria, elimu, miundo mbinu, jamii, n.k. ni mzuri sana ukilinganisha na nchi ya Tanzania.
Kwanini?
Wakuu Salaam,
Nitakuwa nilkileta hapa mfululizo wa mambo muhimu ambayo wenzetu katika nchi zilizopiga hatua huko Ulaya ya Magharibi tunaweza kupata la kujifunza. Kwa leo nitajikita kwenye angle ya usafirishaji.
Bila kupoteza muda na kukuchosha mpenzi msomaji naanza kuyataja mambo hayo kama...
Niliwahi kutahadharisha miaka takriban minne iliyopita kuwa, siku za petrol and dizel zinakwisha na hivyo tufikirie vizuri zaidi kuhusu miradi mikubwa ya petrol and dizel. Nililenga moja kwa moja mradi mkubwa wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania.
Technologia...
Tuliosafiri ndio tunafahamu kuhusu upatikanaji wa chakula nchi za nje.mfano tu ukifika china ,japan,india,usa,south africa na n.k utaona sehemu nyingi biashara ya chakula ilivyopamba moto.
Biashara ya chakula kwa nchi zilizoendelea ni zakutofautiana sana ili kila mtu kumudu chakula anachoweza...
Viongozi wa Tanzania wanakiburi sana, wanakamatwa kwa rushwa na tuhuma nyingine za maadili lakini uwezi kusikia wamejiuzulu. Wanasubiri hadi Mh. Rais awatumbue jambo ambalo ni dharau kwa mamlaka. Kujiuzulu ni Ishara ya kuomba radhi na kukaa pembeni ni Ishara ya kufungua milango usafishwe au...
Huwa sielewi. Rish Sunak asili yake ni India, nchi yake ya UK imekuwa kwenye negotiation ya trade deal na India kwa miezi mpaka wanafika sehemu wanaweka pause then wanaendelea na sometime prime minister anafanya visit na anarudi patupu.
Marekani ili push UK ijiondoe EU kwamba trade deal itakuwa...
UTANGULIZI.
Uchumi wa kati ni hali ya nchi kupiga hatua ya maendeleo ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kitamaduni,hivyo nchi huweza kujiimarisha yenyewe katika sekta muhimu za uzalishaji mali Kama viwanda,Kilimo, biashara na uchumi na kuongeza pato la nchi kwa haraka,hivyo kuachana na hali ya...
changamoto za uchumi wa kati
elimu ya uwekezaji na uchumi
mfumuko wa bei
nchizilizoendelea
pato la taifa
soko huria
uchumi
uchumi wa kati
wataalam wa uchumi
wawekezaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.